Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Una uhakika na hayo magazijuto ulofanya??teh!

teh teh...uhakika niutoe wapi mimi na hesabu kuku na mwewe. Ila hata nikigeuza 13/9 ni 1.4, nikigawa 9 kwa 13 ni 0.6. ukikaribisha mamoja yaliyo karibu utapata mmoja.
 
teh teh...uhakika niutoe wapi mimi na hesabu kuku na mwewe. Ila hata nikigeuza 13/9 ni 1.4, nikigawa 9 kwa 13 ni 0.6. ukikaribisha mamoja yaliyo karibu utapata mmoja.


Hahaha...una round off sio...?
 
Nyani Ngabu , tulitisha sana enzi zile za miaka ya 2008 / 2009, enzi za kina Fidel80 na wengineo full kupokezana milupo ya JF. Nimekuja na ID mpya atleast nivipate hivi vidotcom vya 2013 wanione mpya mwenzao

Kama unamjua hadi Penny basi lazima utakuwa mkongwe wewe.

Ila nimefurahi sijamwona Cupcake wangu kwenye list yako:becky:.
 
Ndio maana nimesitisha list Madame B wamekuja full PM kuomba nisiwataje na nimegundua wengi nao wamechange usernames baada ya kugawa sana, ukiona id unajua mpya kumbe gumegume la kitambo
 
Last edited by a moderator:
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Hata FaizaFoxy?
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaaaaaaah mzigo ni mshuzi wa mbuzi na dawa za ki congo ndo habari ya mujini...! But pia tupo ambao ni supernatural hakuna vya madawa
 
oooooo kuna watuu na viatu duniani..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom