Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

Lakini pia tukiacha masihara kuna muda mwanamke akiolewa anajisahau.. Inaweza fika kipindi hakuheshimu ukiwa mwaminifu sana anakuona mwanaume dhaifu lakini hakwambii.. Ila utaambulia dharau2... Ila Ukipata kamchepuko kabichi njee alafu akajua kidume kumbe ulikuwa unamwonesha sio kwamba unashindwa ndio anashtuka anaanza kukuheshimu mpaka sio vizuri... Cha msingi hapa nikutoacha kujali familia tu we somesha watoto wape kila kitu tena kama ni hela MPE wife na wao wakiwa wanaona..

Mpaka wife heshima irudi.. Ikirudi mpende mke wako na endelea kumweshimu mchepuko piga chini
Nidhambi maana umetamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Akikudharau mpeleke kwao akamfuate huyo anayempa kiburi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa hivyo ni wapumbavu. Na wanawake wanaotegemea pesa ya mwanaume ni Wajinga na wavivu.
Ushauri wangu kwa vijana. Usioe Mwanamke Masikini. Hata usijaribu.
 
Isiwe mke ndio chanzo kikuu cha mme kuwa mkorofi. Uzoefu unaonesha mume anapompenda sn mke wake kumuenzi na kumueshimu, bas mke atapandia kichwani. Istoshe unapokosolewa inakua shida zaid. Waume tunapenda sn nyumbani pakue eneo special pekee. Panapokua gerezani na zizi ta mizozo unategemea nn dada?
Imagine kuna seem anafika na kuambiwa jiskie upo nyumbani ..........
 
Back
Top Bottom