Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

Wadau mpo?
Kuna skendo ambazo sio mpya niendelevu wanaume hawatunzi wake zao kutwa kwa michepuko.
Mtu anapokea mshahara anaenda bara kula nyama na michepuko naingine anaficha benki .
Kidogo sana anampa mke wake na anamwambia bajetia hii ndio ya mwezi huu.
Kila kukicha anampiga mkewe watoto hawana nguo za shule na wala hawali vizuri baba yao ndio hivyo kazi kuwapa vinono malaya hii ni hali mbaya.
Mke wake ananuka jasho hana sabuni hana nguo nzuri mkifanya ziara zakutembelea majumbani mwao mtazimia wanawake zao wamechoka maisha.
Mwingine hana jicho mwingine anaogopa mpaka hajitambui.
Wanaume zao wameishia kwenye uzinzi hadi aibu.
Ada hawajalipa wala nini .
Mama ndio adange aje awape.
Mlo wanakula mara 3 siku ambayo imetokea riziki labda mtu aje anayewafahamu ndio awafanyie ka shopping mtoto wako anakunywa chai bubu na magimbi wewe na huyo hawara yako mnakula mbuzi na vinono.
Yaani maisha ni tete.
Kuolewa ni dili ila wanaume sio mtu mkishakuwa na familia anaenda kwa malaya.
Namateso ndio yanaanza msitese wenzenu kama haupo tayari basi acha .
Usikubalie kuleta malaika wadogo ukaja kuwa tesa jua familia yako ni majukumu yako suo unaenda kulisha double malaya halafu unasema majukumu ya nyumbani ni mama na baba wanasaidiana ili ubakize hela za malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu saidia mke wangu nisimfanyie hii kitu.. Lakini na yeye asizingue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kufanya huo upuuuuthiii, #myfamillymylife Mke wangu nikimtazama najiona Mimi bora niteseke Mimi kuliko kumtesa au kuitesa familia yangu.


Kama hayupo bora nipige Punyento kuliko kutoka njee na uzuri wa kunyento nafanya adjust mwenyewe nikitaka kama ya Mtoto napata mpaka sild napata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unasema wanaume waliooa lakini akiguswa baba yako unaitwa watu takataka hakuoa nn??
Ukute hata radha ya ndoa huijui
F.ucking Grow up
u r thinking like u r 16 o 12 WTF is wrong with u??
Baba yangu ndio alikuwa hivyo ananipa nitakacho kila.birthday na sherekea tokea mwaka hadi siku umauti ulivyomkuta takataka wewe mbwa koko

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom