Haka kabinti nokia alikakosa kosa sana uhanga hadi kwenye kope
Wanaume hatupo hivyo maana halisi ya uanaume ni pamoja na kutimiza majukumu ya familia
Sent using Jamii Forums mobile app
The moment mtu anazungumza mawazo yake ndio muda mzuri wa kumsoma na kumjua kiundani kuwa yeye ni naniAlianza JF hakuna wanaume sahv anasema Tiziii haina wanaume mm ananifurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni nani??The moment mtu anazungumza mawazo yake ndio muda mzuri wa kumsoma na kumjua kiundani kuwa yeye ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe unawaona kuna shida gani kwa mf. Mimi siwaoni na sijilazimishi kuwaonaAlianza JF hakuna wanaume sahv anasema Tiziii haina wanaume mm ananifurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima wawe nazo kwa maana wako single na wanawatoto au mtoto.Single Mothers mna matatizo sanaaa..
Haya katotoKama wewe unawaona kuna shida gani kwa mf. Mimi siwaoni na sijilazimishi kuwaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sijui kununa nilikuwa juu ya kitu nilipokuwa naandika huu uzi au nikuuite ushike mguu ila sijui kama utaweza maana hutonifikia .Ana pupa ....mwandiko wake ni kama anatype akiwa kwenye tukio la kurusha maji......ananifurahishaga lakini hajui kununa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sijui kununa nilikuwa juu ya kitu nilipokuwa naandika huu uzi au nikuuite ushike mguu ila sijui kama utaweza maana hutonifikia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi tupo wengi tunaojua maana ya kuwa na familiaHuyo ni mume wako tu sio wote wako hvyooo....wengine hata kidole hawajawahi kunyooshewa tusikariri maisha..
Na tusifanye wengine wakachukia kuolewa pia!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wengi hivyoo nope badhii calculation inasema asilia ya wanaume 35% ndio wanatunza familia yao kwa kutoa kila hitaji 25% wanatoa mahitaji baadhi sio yote na 50% wanaume hawa sio watoaji ni wanyanyasaji ikiwemo kupigwa.