Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

Mwanaume anaishi na mkewe jinsi mkewe alivyomzoesha!
Mfano mzuri tuu kuna wanaume wanaenda sokoni ndo walivyozoeshana na mkewe! Kuna wengine hata mlango wa sokoni haujuii ndo walivyozoeshana hivyo!!

Kila familia ina utaratibu wa maisha yao na hayafanani na familia ingine!
 
Kweli umesema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamchukulia kwa lolote bali nimeona tu baadhi ya familia napia nimeona niseme tu.
Unajua kuoa lazima waoe nasisi lazima tuolewe.
Nakatika familia hazifanani ila kama ndio hali imezidi inabidi kwenye majukwa kama haya tujaribu kusema ili ya jadiliwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na ulipo ila nakushauri usipende kukaa karibu ya watu wanaofeli utajikuta unaiga kufeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akimiambia wanaune wote wapo sawa!

Me: Are they Chinese?
(Point; huwezi ku generalize kila kitu)

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom