Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

Ungekuwa humtaki kweli wala usingekua unamtukana /kujibizana .... bado unampenda hizo hasira tuuu
 
Akikulegeza tu magoti umekwisha, asijifanye mp anaenda na kurudi, mtimue.
 
Habari za mida?
Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana maisha yakaendelea na nikazoea kidogo kidogo mwenzangu akaenda kwa wanawake wengine kwa sababu tu kuwa amenichoka.

Amebadilisha wanawake kwa karibia miezi saba sasa toka aniache kila wiki ana mpya hata akawa anapitia hadi wauza baa na wamama walioolewa sasa ametendwa na huyo mpenzi wa baa, amepigwa na kuumizwa sana na huyo msichana, amerudi tena kwangu kuwa mimi ndiye mtu wa kweli kwake, hataki niondoke maishani mwake muda huu hata hamu ya mwanaume sina kabisa.

Nikimtazama kama mpenzi napata hasira na sifurahii kuwa naye sasa namtukana lakini bado ameganda tu jamani Wanaume mkitaka kuondoka nendeni kimoja, hata tukiwapenda vipi kuna muda mioyo yetu inabadilika khaaaaaaaaa....
Well said mdada siku zote mwanaume huwa ana haraka ya kumove on na hurudi mapema lkn mwanamke huchukua muda kumove but once she make a move huwa harudi ni wachache na wasio na misimamo
[HASHTAG]#talkingwithexperience[/HASHTAG]
 
Kwa maelezo yako ni kama vile mpo wote.

Kama hutaki arudi maishani mwako usimfungulia mlango tena.
 
Unaposema haumtaki, na hapohapo unasema uponae na amekuganda hataki kuondoka, alafu mwisho unawashauri wenzako wanaume zao waende moja kwa moja....... Hapo mbona unani changanya.... Ama pengine mimi ndie sijakuelewa vizuri.....
 
wakati unajaribu kujiua ""then ukapona...mtoa roho alikuwa ametumbuliwa au alikuwa likizo pluto""??
 
Back
Top Bottom