Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

Ok!! Sasa hapa ulitaka tufanyeje!??

Haahahaa...
 
Huyo apambane tu hali yake kwakweli...
 
Tafadhali umetumia sumu gani kujiua hiyo mara zote ulizo jaribu maana si dhani kama kitu kinacho itwa sumu kilishindwa mwili wako kuupoozesha kabisa tena si mara moja kwa maelezo yako mean ni zaidi ya mara mbili, Naomba unambie type ya sumu uliyo tumia na ikashindwa kuleta matokeo mazuri mwilini mwako.
 
Huyo mwingine atakayemtafuta ni mwanaume pia au Mwanamke?,kama ni mwanaume basi mwambie tu ukweli kuwa akubali matokeo na akubali kuwa na huyo aliyejirudi maana hakuna jipya kwa sisi wanaume ,asijeishia kutembezewa mikwaju na kila aina ya anayeitwa mwanaume mpaka uzee wake kwa kudhani ana bahati mbaya na kila anayekutana naye kiasi awe anafanya kazi ya kutafuta mpya kila anapokwazwa,sisi tumeumbwa kumiliki tangu na tangu na ndio uasili wetu ,wanawake ifikie mahala wakubali tu matokeo waache kubishana na ukweli hata wa kiimani kwa sababu ya upuuzi wa kinachoitwa Haki sawa,hicho kitu hakipo na mwendekeza hayo hulaaniwa na ndio hicho kinachoanza kumwandama dada yako huyu kama hatostuka.
 
Back
Top Bottom