AiseeEwaaaah sasa wewe si unabishaaa
Mm ni hatar kama wonder woman
Yan nakwambia saiv ni style mpya ya sex nakupiga vibao vya matakooo nakutia dole gumba nakwambia ndo nasisimka alafu baadae nadumbukiza limkono loteee mbn utakimbia mwenyeweee
Mleta post ni nani kwani? mke au mume? Ukishalijua hilo rudia kusoma nilichokiandika kisha tafakari quote yako juu ya comment yako kisha jisahihishe mwenyewe.Unaposema huko alikokuwa hapaaminiki kwa yeye mme wake alipoondoka aliziba pasipite kitu? Twende mbele na kuludi nyuma!
TumekusikiaHabari za mida?
Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote.
Nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana. Maisha yakaendelea na nikazoea kidogo kidogo. Mwenzangu akaenda kwa wanawake wengine kwa sababu tu kuwa amenichoka.
Amebadilisha wanawake kwa karibia miezi saba sasa toka aniache. Kila wiki ana mpya hata akawa anapitia hadi wauza baa na wamama walioolewa. Sasa ametendwa na huyo mpenzi wa baa, amepigwa na kuumizwa sana na huyo msichana, amerudi tena kwangu kuwa mimi ndiye mtu wa kweli kwake, hataki niondoke maishani mwake. Muda huu hata hamu ya mwanaume sina kabisa. Nikimtazama kama mpenzi napata hasira na sifurahii kuwa naye.
Sasa namtukana lakini bado ameganda tu jamani. Wanaume mkitaka kuondoka nendeni kimoja, hata tukiwapenda vipi kuna muda mioyo yetu inabadilika khaaaaaaaaa....
We unafikiri yeye ataandika maovu yake? Nimeelewa ndio maana nikakujibuMleta post ni nani kwani? mke au mume? Ukishalijua hilo rudia kusoma nilichokiandika kisha tafakari quote yako juu ya comment yako kisha jisahihishe mwenyewe.
Halafu hilo neno "kuludi" linaandikwa kurudi
pole mwayaHabari za mida?
Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote.
Nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana. Maisha yakaendelea na nikazoea kidogo kidogo. Mwenzangu akaenda kwa wanawake wengine kwa sababu tu kuwa amenichoka.
Amebadilisha wanawake kwa karibia miezi saba sasa toka aniache. Kila wiki ana mpya hata akawa anapitia hadi wauza baa na wamama walioolewa. Sasa ametendwa na huyo mpenzi wa baa, amepigwa na kuumizwa sana na huyo msichana, amerudi tena kwangu kuwa mimi ndiye mtu wa kweli kwake, hataki niondoke maishani mwake. Muda huu hata hamu ya mwanaume sina kabisa. Nikimtazama kama mpenzi napata hasira na sifurahii kuwa naye.
Sasa namtukana lakini bado ameganda tu jamani. Wanaume mkitaka kuondoka nendeni kimoja, hata tukiwapenda vipi kuna muda mioyo yetu inabadilika khaaaaaaaaa....
Kwahiyo kama kaomba ushauri kwa maelezo yake unamshaurije?We unafikiri yeye ataandika maovu yake? Nimeelewa ndio maana nikakujibu
Mwambie huyo huyo wa kwako,maana ujinga huo anao yy tu,labda sababu ni mvulana siyo mwanaumeHabari za mida?
Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote.
Nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana. Maisha yakaendelea na nikazoea kidogo kidogo. Mwenzangu akaenda kwa wanawake wengine kwa sababu tu kuwa amenichoka.
Amebadilisha wanawake kwa karibia miezi saba sasa toka aniache. Kila wiki ana mpya hata akawa anapitia hadi wauza baa na wamama walioolewa. Sasa ametendwa na huyo mpenzi wa baa, amepigwa na kuumizwa sana na huyo msichana, amerudi tena kwangu kuwa mimi ndiye mtu wa kweli kwake, hataki niondoke maishani mwake. Muda huu hata hamu ya mwanaume sina kabisa. Nikimtazama kama mpenzi napata hasira na sifurahii kuwa naye.
Sasa namtukana lakini bado ameganda tu jamani. Wanaume mkitaka kuondoka nendeni kimoja, hata tukiwapenda vipi kuna muda mioyo yetu inabadilika khaaaaaaaaa....
AGANO LILILOKWISHA VUNJIKA!Asipokuwa makini kama ni mpenzi tu wa kawaida atamtenda tena na tena bora angekuwa na kiapo naye ungejitetea kuwa unatunza agano.
Aangalie wapi alikosea inawezekana hata yeye ni chanzo cha tatizo maana elimu ya ndoa ni uwanja mpanaKwahiyo kama kaomba ushauri kwa maelezo yake unamshaurije?
Kwa maelezo yako na yangu kimtazamo tumetofautiana sana?Aangalie wapi alikosea inawezekana hata yeye ni chanzo cha tatizo maana elimu ya ndoa ni uwanja mpana
Sikuwa na maana ya kupinga andiko lako nilikuwa naongezea tu kama unataka kumsaidia mtu mpe ukweri hata kama ni mchungu ili aponeKwa maelezo yako na yangu kimtazamo tumetofautiana sana?
Nafikiri ndicho nilichomweleza hapo, labda sikuekezea kwa kirefu sana.Sikuwa na maana ya kupinga andiko lako nilikuwa naongezea tu kama unataka kumsaidia mtu mpe ukweri hata kama ni mchungu ili apone