The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
Habari za mida?
Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana maisha yakaendelea na nikazoea kidogo kidogo mwenzangu akaenda kwa wanawake wengine kwa sababu tu kuwa amenichoka.
Amebadilisha wanawake kwa karibia miezi saba sasa toka aniache kila wiki ana mpya hata akawa anapitia hadi wauza baa na wamama walioolewa sasa ametendwa na huyo mpenzi wa baa, amepigwa na kuumizwa sana na huyo msichana, amerudi tena kwangu kuwa mimi ndiye mtu wa kweli kwake, hataki niondoke maishani mwake muda huu hata hamu ya mwanaume sina kabisa.
Nikimtazama kama mpenzi napata hasira na sifurahii kuwa naye sasa namtukana lakini bado ameganda tu jamani Wanaume mkitaka kuondoka nendeni kimoja, hata tukiwapenda vipi kuna muda mioyo yetu inabadilika khaaaaaaaaa....