Wanaume: Mkilelewa na wanawake mjue mko sawa na 'mdoli'

Wanaume: Mkilelewa na wanawake mjue mko sawa na 'mdoli'

Tatizo mnaona wivu saivi kibao kimegeuka jua linatokea magharibi mnaanza kumind.

Dezo mnataka nyie tu?

Nasema hivi "Marioo pigeni kazi, kuleni pesa zao" si wamewataka wenyewe.
Sawa hatukatài ila maandiko hayasemi hivyo
 
Katoto kazuri unaonekana umetendwa halafu hasira za mbebez wako unakuja kuzimalizia kwa kumuanzishia thread pole sana mamy mwache aende tu ndio mapenzi hayo
Nimetendwa wapi?
 
Wakati mumekalisha makalio pale beijing mwaka 95 na kutoka na maazimio ya kishujaa ya kutaka usawa,tulikuwa tunawaangalia tu,sasa ule usawa mliokuwa mnautaka ndo huu,mnaanza kulialia,tena mweyekiti wa mkutano alikuwa mbongo mama getrude mongela.wahenga wanasema haki huja na majukumu,mlichokipanda ndo mnakivuna hivi sasa.

Nasema hivii Mamarioo chapeni kazi,endesheni magari yao na hela zao tafuneni,kama wanaona umarioo ni kazi rahisi basi wanunue madildo wajimarioo wenyewe.
Hahaha. Umenikumbusha kuna mshakaji akiongea alafu demu akaingilia maongezi anasema

"Mambo ya Beijing haya, fifty fifty by 2020"

"Makofi yapo mule mule"
 
Wanaume (mmario) .
Ukitunzwa na mwanamke ni sawa na kimdoli chenye kidudu kinachotawaliwa kama nini.
Msidhani wanawapenda wanawatumia tu kama wanaume wenye nazo kama chambo basi tu mnavyotufanyia sisi hata na wao wanawafanyia na wimbo wa ndindi unawahusu wakiwa choka .
Dah yaani nyie hamna hata aibu gari la mwanamke nguo nyumba yaani ni hewa tu ndio sio yake.
Dah aibu jishughulisheni.
Jamani acheni aibu.

Mkuu tuacheni kama tulivyo in chaliifrancisco voice
 
Hayooo hamuna aibu hayo kubwa jinga.
Mnalishwa kama wadada buuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom