Wanaume: Mkilelewa na wanawake mjue mko sawa na 'mdoli'

Wanaume: Mkilelewa na wanawake mjue mko sawa na 'mdoli'

.... umekazana kweli ku throw shade mdogo wangu.

Hakika hii wiki sio nzuri kwako kimapenzi.

Jana ma hensam, leo mariooo.
 
Huyu ni mtoto wa kritka nahisi atakuwa Nancy
 
Wakati mumekalisha makalio pale beijing mwaka 95 na kutoka na maazimio ya kishujaa ya kutaka usawa,tulikuwa tunawaangalia tu,sasa ule usawa mliokuwa mnautaka ndo huu,mnaanza kulialia,tena mweyekiti wa mkutano alikuwa mbongo mama getrude mongela.wahenga wanasema haki huja na majukumu,mlichokipanda ndo mnakivuna hivi sasa.

Nasema hivii Mamarioo chapeni kazi,endesheni magari yao na hela zao tafuneni,kama wanaona umarioo ni kazi rahisi basi wanunue madildo wajimarioo wenyewe.
 
Wanaume (mmario) .
Ukitunzwa na mwanamke ni sawa na kimdoli chenye kidudu kinachotawaliwa kama nini.
Msidhani wanawapenda wanawatumia tu kama wanaume wenye nazo kama chambo basi tu mnavyotufanyia sisi hata na wao wanawafanyia na wimbo wa ndindi unawahusu wakiwa choka .
Dah yaani nyie hamna hata aibu gari la mwanamke nguo nyumba yaani ni hewa tu ndio sio yake.
Dah aibu jishughulisheni.
Jamani acheni aibu.
Usha tendwa huko ,mkuu
 
Katoto unaonaje ukiitambulisha ID yako kongwe....

Maana huu mwandiko naujua kabisaa...
 
Wanaume (mmario) .
Ukitunzwa na mwanamke ni sawa na kimdoli chenye kidudu kinachotawaliwa kama nini.
Msidhani wanawapenda wanawatumia tu kama wanaume wenye nazo kama chambo basi tu mnavyotufanyia sisi hata na wao wanawafanyia na wimbo wa ndindi unawahusu wakiwa choka .
Dah yaani nyie hamna hata aibu gari la mwanamke nguo nyumba yaani ni hewa tu ndio sio yake.
Dah aibu jishughulisheni.
Jamani acheni aibu.
Hao wanaume wa aina hiyo wanahitaji maobi. Binafsi huwa sikubali kwa njia yoyote ile kutmia mali ya mwanamke, hata nikitumia ni kwa muda mfup na mm nitanunua yangu. Huwa hawachelewi kukusimanga na kitu chako..
 
Wanawake wapiga mizinga ,utawajua tu wala haitaj nguvu kubwaa
Ndio wengi. Halaf kuweni makin mwisho wa mwezi, baadhi ya wanawake wanajua kambisa mishahara inatoka, basi wataongeza mapenz, au wanaanza kupiga vibomu vya saloon, nauli, vocha.
Kwa hiyo kabla ajaanza kupiga kibom unamkataa kwa speed ya 4G?
 
Hata umarioo ni kazi kama kazi zingine maana kumu handle mtu mzima sio kazi rahisi
Wapi ? Raisi wetu kama ulivyosimamia mashoga nakuhakikisha hawako hata kama wako hawaishi kwa amani.
Sasa piga marufuku hii mamario pleasee.
Wafanye kazi?
 
Wapi ? Raisi wetu kama ulivyosimamia mashoga nakuhakikisha hawako hata kama wako hawaishi kwa amani.
Sasa piga marufuku hii mamario pleasee.
Wafanye kazi?
Iyo alama ya kuuliza umeiweka ya nini mwishoni mwa sentence au ni urembo?
 
Mwaka wetu huu maaamaae
Hiloooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] aibuu kama nini yani huogopi hata katafute mzungu hapo sawa ila wa tz mnafurahia kuwanyonya dah yaonee badala muwalee mnawamaliza
 
Back
Top Bottom