Wanaume mbarikiwe sana

Wanaume mbarikiwe sana

Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
Hahahahahaha 🤣 hizi taarifa nzuri ila sidhani kama zinanifit
 
Aiseee wabarikiwe mnoooooooooooo nimesaidiwa sana na kiumbe mwanaume Mungu awatunze mnoo
 
Mwanaume ukiona umepongezwa stuka mapema sana ujue mtego kiumbe mwanamke hajawahi kuridhika wewe ni nani mpaka upongezwe kwa kipi cha ajabu?
Siyo kweli, wapo wanawake hushukuru vizuri tu. Wapo wanaoridhika na huwezi amini.
 
Inategemeana na uliyempata, sio wanaume wote wana ujinga kama huyo wa kwako. Kwa ushawishi upi kimada anisahaulishe hadi majukumu kwa familia yangu na nisiikumbuke! Semea kwa mwanaume mmoja mmoja na si including.
Unasahau familia yako kisa mapenzi?? Huo sio uanaume huo ni umama
Hakuna mama snayelewa mapenzi akasahau familia au jamii yake. Ni sisi wababa tu.
 
Shida yenu huwa mnatusifiaga hivi ili tuingie vizuri kwenye 18 zenu mtupige na vitu vizito.

Akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom