Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,315
- Thread starter
- #21
Ni msimamo ujue kuna muda unataka kuoa lakini ndugu zako wanamkataa mwamamke unae taka kumuoa wewe unaweka msimamo wako mkali mpaka mnaoanaUnasahau familia yako kisa mapenzi?? Huo sio uanaume huo ni umama
Hili ndicho najaribu kukielezea na sio icho unachofikili
