Wanaume matajiri wanawaoa maroboti ya kike

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,091
3,746
Hapo vip!

Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida.

Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu.

Alon Mask,ambaye ni tajiri wa kwanza Duniani amemuoa Roboti ya kike.Nadhani asilimia kubwa ya watu watatamani kuwa na hizi roboti ili kuepuka na changamoto za ndoa husani wanaume..wanakufa sana kwasababu ya stress za wanawake wanadamu.

Pia roboti hawezi kuchepuka kwasababu unakuwa na passwords zake na mambo mengine kiasi kwamba mtu mwingine hawezi kuchipuka naye.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…