Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
- Thread starter
- #21
[emoji3]na mm niko napacha wangu na tuna ndoto kama hiyo so ningependa nijue ili tuunganishe ndoto zetu.
[emoji3]na mm niko napacha wangu na tuna ndoto kama hiyo so ningependa nijue ili tuunganishe ndoto zetu.
kwahiyo hapo unakula na kuamka popote,daah!bonge la mchanganyiko..
sawa mkuu tutafutaneNitakutafuta
Kwanini,umeamua hivyo!?Ebu tushirikishe hekima na busara zako!?
AiseeIkitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
Uko mulemule kasie njoo mzee mwenzangu tumalizie maisha[emoji8] [emoji7]Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
Mmmmh hatarihuo nimtizamo 2 wakila m2 anavyopangiria mambo yke ww ujawai kuona m2 anajenga nyumba yke hila anakosorewa?
Uko mulemule kasie njoo mzee mwenzangu tumalizie maisha[emoji8] [emoji7]
Una kipi spesho?Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
Una kipi spesho?
jukwaa limevamiwa na watoto wa facebook mkuu.Kiswahili hiki tabu tupu
Hii lugha nayo ilikuja na jahazi?huo nimtizamo 2 wakila m2 anavyopangiria mambo yke ww ujawai kuona m2 anajenga nyumba yke hila anakosorewa?
Ningekuwa moderator ningehakikisha hata Kiswahili kinachotumika hapa ni fasaha. Kiswahili hawajui, sasa Kiingereza hapa si itakuwa ni majanga makubwa?jukwaa limevamiwa na watoto wa facebook mkuu.
Kampa kampa tena imeenda wapi?Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.
Kampa kampa tena imeenda wapi?
What is your age again Kassie?Ikitokea mtu anishawishi kuolewa na hadi nishawishike kuolewa basi muoaji awe mwanaume pacha ambaye wamezaliwa pacha 3 na pacha wenzake 2 wawe wa kike yeye ambaye ndo anishawishi kuniona awe wa kiume. Na wakati ananishawishi kunioa hao pacha wenzake 2 wawe walishaolewa na bado wako kwenye ndoa zao na wawe na watoto si chini ya 3 kila mmoja.
Hapo ndo ntasema YES... I DO.... I WILL MARRY YOU.....
Vinginevyo..... I enjoy being senior single granny.
Kasie.