Thanks God my man is very responsible.Utakuwa na ujinga wa kiwango cha standard gauge kama utajaribu ku compare maisha ya mwanaume akiwa ghetto na ya ndani ya ndoa.
Inaonesha hujui wajibu wako na ni mwanamke wa kushindia tamthilia (mvivu) sana maana KE wa sharp hawapo hivyo ivyo.
We kaa ukijua kama mwanamke wa tamaduni ya ki TZ hata kama umekulia hyatt regency, una wajibu wa kufanya chores zote ndani ya nyumba hio ni pia na kumhudumia mumeo lioneee kwanzaaa...Nyie ndio minyumba yenu imejaa mimende kwa uchafu..Acha uvivu na kulalamika ovyo wewe
Hizi ni za kwetu hatukatai.Pia, kupika, kuosha vyombo, kumtawaza mtoto na kuzoa mavi ya mtoto
Mkuu hata sisi tungependa kula chakula walichopika waume zetu siku moja moja. Ninakisikia furaha weekend kama hii baada ya chai Aspirin anaposa babe wewe nenda saloon ya nyumbani niachie. Hata kama atakachoweza kupika ni mchemdho wa kuku na viazi lakini amekufikiriaUtakuwa na ujinga wa kiwango cha standard gauge kama utajaribu ku compare maisha ya mwanaume akiwa ghetto na ya ndani ya ndoa.
Inaonesha hujui wajibu wako na ni mwanamke wa kushindia tamthilia (mvivu) sana maana KE wa sharp hawapo hivyo ivyo.
We kaa ukijua kama mwanamke wa tamaduni ya ki TZ hata kama umekulia hyatt regency, una wajibu wa kufanya chores zote ndani ya nyumba hio ni pia na kumhudumia mumeo lioneee kwanzaaa...Nyie ndio minyumba yenu imejaa mimende kwa uchafu..Acha uvivu na kulalamika ovyo wewe
Thanks God my man is very responsible.
Hapendi uchafu aisee akivua nguo anaweka kwenye dustbin
Akiona nipo busy anafanya anachotaka kufanya.
Nikitangulia kutoka anatandika kitanda.
Na mengine meengi ambayo huwa namsifu kwa uanaume wake.
Hivyo kuniambia ndoa itanishinda teh teh teh.
Wewe tafuta tu mwanamke utakayemfanya housegirl na siyo msaidizi wako.
unajikuta tuu umejisahau lakini si umwinyiHebu tuambie, huwa mnafanya kusudi au? Na mnajisikiaje?
Sidhani kama mke mwema aweza kulalamikia mambo kama haya.
Nakupa bonge la povu "Olewa na babu yako."...Aisee wanaume zao walikua responsible hao unaowaita mama zenu,
Nimeona mifano mingi tu unakuta mwanaume anamfulia mkewe (wakiwa wazee tayari)
Sasa sijui huwa mnawazungumzia mama wapi hao,
Ni hao hao wanaume walikua wanakwenda sokoni na kuwaacha wake zao wapumzike ?
Ama wanaume wapi hao ?
Hili ni jambo dogo tu mtu akishaswaki aweke mswaki unapotakiwa,aweke taulo linapotakiwa,aweke nguo zake kwenye dustbin n.k
Babu yangu mpaka leo anafua nguo na mkewe akiwa hajisikii vizuri anafanya usafi chumbani kwake !
[emoji2] [emoji2] hapo kwenye socks minamuamshaga mtu usingizini yani atafute, unafua socks alafu unachanganya na manguo ya watotowako, mimi nichelewe kazini kwa sababu ya kutafuta socks moja!!!'Anakuja kukuita jikoni uko kati kati ya mapishi kisa haoni socks ya pili na anachelewa huko vaendako.
Tena mwingine kuna sink la kunawia hapo dinning lakini atataka ukamnawishe na bakuli alipokaa. Si ushamba huo sasa? Au ndo umwinyi wenyewe?Hii heading tu nikawaza hivyo hivyo...Yaleyale!
Hiyo ya kunawisha huwa inakera sana, kwa nini unawishe mtu mzima mikono?
Na haya ya kumpelekea kila kitu mezani kuna mtu alishauri kufanya hivi ili kuepusha mtu kutoka nje ya ndoa, mbona tuna kaxi!..
Nimeolewa na mfano wake.
Ingekuwa na utaratibu wa kufua socks na boxers zako weekend na kuzipanga kila socks na mwenzake usingeumia kichwa[emoji2] [emoji2] hapo kwenye socks minamuamshaga mtu usingizini yani atafute, unafua socks alafu unachanganya na manguo ya watotowako, mimi nichelewe kazini kwa sababu ya kutafuta socks moja!!!'
[emoji115]we, we, we amka utafute kesho utajifunza kupangavitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa yenyewe siku hizi ni 50/50mbona ndo wajibu wetu mpenz,kama anatafuta pesa mi sioni tatizo....ila siyo awe mchoyo nyumban Afu asubirie kutanua miguu tuu
Marry me please [emoji8] [emoji8]Mwanaume unatuangusha, maisha ya ndoa sivyo, ni kushirikiana na sio kumfanya mke mtumwa, unashindwa hata kuchukua kijiko jikono? Je kupika, akiugua mke utaajiri mpishi? Jirekebishe
Sent using Jamii Forums mobile app