Sikujua kama ni uzungu mwanaume kujihudumia na kumsaidia mkewe !Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Hayo ya kutafuta pesa shost ananiambia mume wake anampa 10,000 ya simu kila J'mosmbona ndo wajibu wetu mpenz,kama anatafuta pesa mi sioni tatizo....ila siyo awe mchoyo nyumban Afu asubirie kutanua miguu tuu
hatakuita tu ukamchukulie simu yake ikiita kwani hata yeye hajui nani anapiga na hata ki wewe umjueNature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
Aisee wanaume zao walikua responsible hao unaowaita mama zenu,Na mama zetu walikuwa comfortable tu na hayo,leo si mmeshituka baada ya feminist movement kukosoa kila kitu,mbona mi sijaona ubaya hapo,na mwanaume nae kuna mambo anayafanya ili mayai na tisuue viendelee kuwepo nyumbani
Hapo kwenye simu utashangaa anavyokurupuka,Hayo ya kutafuta pesa shost ananiambia mume wake anampa 10,000 ya simu kila J'mos
hatakuita tu ukamchukulie simu yake ikiita kwani hata yeye hajui nani anapiga na hata ki wewe umjue
Hata mwili wake mwebyeweIle umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
Madai yao tuwalee kama watotoIle umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
Mitoto gani?Wanaume kama watoto ujue
My own brand!!
Tafsiri ya mke mwema ni ipi?Sidhani kama mke mwema aweza kulalamikia mambo kama haya.
Aah wapi, hata ukilihudumia litachukuliwa tu, likwende hukoooKazi ya mwanamke ni kumhudumia mwanaume wape nafasi wenzio walihudumie njemba,trust me watalichukua jumla
Utakuwa na ujinga wa kiwango cha standard gauge kama utajaribu ku compare maisha ya mwanaume akiwa ghetto na ya ndani ya ndoa.Nature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
Anayoyafanya mwanaume na mwanamke anafanya piaNa mama zetu walikuwa comfortable tu na hayo,leo si mmeshituka baada ya feminist movement kukosoa kila kitu,mbona mi sijaona ubaya hapo,na mwanaume nae kuna mambo anayafanya ili mayai na tisuue viendelee kuwepo nyumbani
Wanaohudumia wapo wachache. Wengine wanahudumianaKwani lazima uolewe?
Maana kila siku mada zako ni kulalama tu.
Ukiona uko sawa na mmeo basi nawewe oa mke akuhudumie.
Labda kama wewe sio mwanamke, kama wewe ni mwanamke na umeolewa basi ndoa huiwezi maana unalalama sana.
Mada yako nyingine hii hapa ukilalama
Ewe mwanaume, zama zimebadilika, upikiwe? Kwanini wewe hupiki?
Hebu tuambie, huwa mnafanya kusudi au? Na mnajisikiaje?mkuu wifi yako kakuhadithia tabia yangu nini naona live umenisema mimi