Hao ni wanaume waliolelewa na mabek tatu...Anakuwa kukuita jikoni uko kati kati ya mapishi kisa hao ni socks ya pili na anachelewa huko vaendako.
Vipi kuhusu Posa.....maana mi naona n moja ya vtu ambavyo vinaleta umwinyiKuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunywa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Unatuonea Mkuunadhani hao ni wanaume wa Tanga waliozoea kulelewa
Wakati ile ndoa ilikuwa ni vacationNa mama zetu walikuwa comfortable tu na hayo,leo si mmeshituka baada ya feminist movement kukosoa kila kitu,mbona mi sijaona ubaya hapo,na mwanaume nae kuna mambo anayafanya ili mayai na tisuue viendelee kuwepo nyumbani
Kwani lazima uolewe?Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunywa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Patia namba yako nikutumie hela ya supu.Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Nature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?