Wanaume: Mambo muhimu unayopaswa kuyajua kutoka kwa mwanamke unayetaka kuanzisha naye mahusiano

Umesema vema,ila kuna point ina miss labda unaweza usiione kwa karib ila ipo,,

Ila uwe bora ktk sekta ya mahusiano lazima ushike aina zote saba za mahusiano ambapo ktk aina sita za mahusiano,ndoa ni namba sita ambapo ndo inabeba dhima kubwa zaid ktk mahusiano. Fedha/pesa/hela haipo hapa.

Pia katk njaa nne kuu za ubongo,maana ubongo wa binadam yyte una njaa nne,ila fedha haipo,so unataka kuniaminisha kipi ktk mada yako bila pesa hakuna mapenz?au umechanganya mapenz na upendo? Demiss
 
Back
Top Bottom