Wanaume: Mambo muhimu unayopaswa kuyajua kutoka kwa mwanamke unayetaka kuanzisha naye mahusiano

Hiyo number 1 ina maana bibi anaweza akamtamani mjukuu wake au Dada akamtamanj kaka ake mmmmmhhhh!!!! Hii chai kabisa hii
 
Hapo number 8 nakataa kwa hiyo unataka KUSEMA ndoa za watu wa kipato chini hawana mapenzi ya kweli?
 
Huu ni mtazamo wako kwa utashi wako kwa jinsi ya mambo unavyoyaona kulingana na mazingira yaliyokuzunguka au matukio uliyokutana nayo.......

Ukweli unaweza kuwa mbali na unavyowaza au kufikiria......

Ukweli ni kwamba

Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana mbele ya mwanaume haijalishi status yake au jinsi yoyote alivyo lakini hayo yanawezekana kwa mwanaume anayejitambua na kutambua nini maana ya uanamume wake na una maana gani akiwa mbele ya mwanamke..........

Mwanaume anaweza kuwa na mwanamke yeyote lakini mwanamke hawezi kuwa na mwanaume yeyote anayemtaka.....

Ulimwengu wa sasa vijana wanasumbuliwa na wanawake kwa kuwa wao wenyewe wameshatoka nje ya mstari wa uanamume wao.......na wanawake wameshajua udhaifu huo ndio maana wanatamba.........

Mwanamke sio kiumbe kamili bali ni sehemu ya maumbile ya mwanaume....naturally mwanamke hawezi kukamilika bila ya mwanaume Kwani mwanaume ndiye anayekamilisha maumbile yake.........

Ukimjua mwanamke hakupi tabu ndio maana Wahenga waliweza kuishi vyema na wake wao mpaka uzeeni......
well said
 
Dah! Wewe Dada Leo nimekupenda kwa dhati kwa ujumbe huu.

Nitaurudia kila siku. Umeandika factors za nguvu kabisa.
 
Back
Top Bottom