Wanaume: Mambo muhimu unayopaswa kuyajua kutoka kwa mwanamke unayetaka kuanzisha naye mahusiano

Dah! Wewe Dada Leo nimekupenda kwa dhati kwa ujumbe huu.

Nitaurudia kila siku. Umeandika factors za nguvu kabisa.
Asantee sana mkuu tupo pamoja ktk kuendesha gurudumu la maisha
 
1. Tamaa zao.

Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako.

2. Hulka zao.

Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.

3. Kuachana.

Mwanaume kumuacha mwanamke anayempenda ni kama simba kuacha kula swala, mwanamke kumuacha mwanaume ni rahisi kama swala kumkimbia Simba mzee.

4. Tabia.

Jihadhari na maneno ya vijiweni kwamba wanawake wote wako sawa kitabia. No, lakini kumbuka hakuna mwanamke asie mwanamke.

5. Mpenzi wa zamani.

Kujaribu kumsahau mwanamke uliyewahi kumpenda ni kama kumkumbuka mtu usiyemjua. Ni ngumu

6. Kuoa.

Muhimu kuoa, na ni ngumu sana kumjua mke mwema kabla ya kuoa, ni waigizaji wazuri sana. Kumbuka maneno ya Albert. " muhimu kuoa, ukipata mke mwema utakuwa na furaha, ukipata mke mwovu utakuwa mwanafalsafa.

7. Usaliti.

Vizuri kujiandaa kisaikolojia kusalitiwa, la usipojiandaa ama waweza kuua mtu au hata kujiua. ukiua mtu maisha yako yatakosa furaha siku zote, ukijiua mwenyewe, hao waliokusaliti wanaweza kuishi kwa furaha zaidi ya ulivyokuwa hai.

8. Pesa na mapenzi.

Mapenzi bila pesa yanapatikana kwa wingi sana huko mbinguni, hapa duniani ni ngumu mno, lakini usihofu sana, kuna makubaliano bila pesa. Omba Mungu.

9. Uongo.

Wahenga walisema ukweli unauma na mimi nakuambia "uongo unaua"

10. Kumjua wanamke yahitaji muda wa kumchunguza sana.

Kutaka kumjua mwanamke unahitaji miaka mingi ya kuishi kuliko idadi ya nywele zao. Soma vitabu, makala, majarida, filamu, nyimbo na hotuba za wanaofundisha mandhari za wanawake. Kuna kanuni moja tu ya kupenda, " ili ubaki salama katika kupenda sharti ujipende kwanza".

Demiss (cha mdeko)

yaani hapo kiufupi...
hakunaga mwanaume anaejuaga hasa mwanamke anataka nini kwenye hii dunia..???..
kuanzisha mahusiano na wadada wa kisasa ni kama kubet tuu....aiseee...
 
1. Tamaa zao.

Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako.

2. Hulka zao.

Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.

3. Kuachana.

Mwanaume kumuacha mwanamke anayempenda ni kama simba kuacha kula swala, mwanamke kumuacha mwanaume ni rahisi kama swala kumkimbia Simba mzee.

4. Tabia.

Jihadhari na maneno ya vijiweni kwamba wanawake wote wako sawa kitabia. No, lakini kumbuka hakuna mwanamke asie mwanamke.

5. Mpenzi wa zamani.

Kujaribu kumsahau mwanamke uliyewahi kumpenda ni kama kumkumbuka mtu usiyemjua. Ni ngumu

6. Kuoa.

Muhimu kuoa, na ni ngumu sana kumjua mke mwema kabla ya kuoa, ni waigizaji wazuri sana. Kumbuka maneno ya Albert. " muhimu kuoa, ukipata mke mwema utakuwa na furaha, ukipata mke mwovu utakuwa mwanafalsafa.

7. Usaliti.

Vizuri kujiandaa kisaikolojia kusalitiwa, la usipojiandaa ama waweza kuua mtu au hata kujiua. ukiua mtu maisha yako yatakosa furaha siku zote, ukijiua mwenyewe, hao waliokusaliti wanaweza kuishi kwa furaha zaidi ya ulivyokuwa hai.

8. Pesa na mapenzi.

Mapenzi bila pesa yanapatikana kwa wingi sana huko mbinguni, hapa duniani ni ngumu mno, lakini usihofu sana, kuna makubaliano bila pesa. Omba Mungu.

9. Uongo.

Wahenga walisema ukweli unauma na mimi nakuambia "uongo unaua"

10. Kumjua wanamke yahitaji muda wa kumchunguza sana.

Kutaka kumjua mwanamke unahitaji miaka mingi ya kuishi kuliko idadi ya nywele zao. Soma vitabu, makala, majarida, filamu, nyimbo na hotuba za wanaofundisha mandhari za wanawake. Kuna kanuni moja tu ya kupenda, " ili ubaki salama katika kupenda sharti ujipende kwanza".

Demiss (cha mdeko)
Na mwanafalsafa akawa mwenye furaha baada ya kuwepo sana na kupata Mke bora
 
Mi mwanamke nikishamkata hata niwe nampenda vipi kumuacha akizingua haichukui muda kwanza siwezagi kumkuza namuweka daraja la kati tu

hit and run
Your days are numbered siku ukinasa utatia huruma sana wapo waliokua na akili kuliko wewe wakanasa wakaishia kua wanafalsafa
 
mwanaume anayeshindwa kumuacha anayempenda bado anahesabika ni mwanaume??
 
Mwanamme amloge mwanamke, ila hapo kuna vigezo na masharti. (1)hutakiwi kumloga mwanamke ambae huna mpango naye, wala hana manufaa kwako.(2) Mwanamke utakae mloga wakuu wakimila wathibitishe kuwa anafaa, na sio mzito kukuzidi wewe mwanaume. (3)awe nauwezo wakuku zalia watoto wengi...
Mkuu kama una utalamu huu nielekeze
 
pesa na mapenzi
wewe mwanamke anakazwa vizuri na anapewa pesa na magari mazuri ya kutembelea bt still TAMAA inaingilia kati..jaman kuna pesa na mapenzi ila kuna PERSONAL DESIRE ambayo kila mtu anayo na zinatofautiana.
 
Back
Top Bottom