wanaume kweny ubora wetu

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
291
477
Utakuta mwenye nyumba anajipodoa na kilivyo hakidanganyi Kweli anapodoka
Anashinda saloon kujipodoa
Style tofaut za urembo wa nywele,
Lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka
Huu mchezo hautaki mekapu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom