Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

napenda kula ili nionekane na mahela ya kutosha hata nikitaka demu nisimkose
 
wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu

.....ha ha ha mkuu nakupa mia!!!!

.....niko hapa thepicnic na nyumba ndogo dadadek matamthilia kwa kwenda mbele.....
 
Chakula cha baa kizur mno unakula huku unabembelezwa na baamedi
 
​Kwi kwi kwi kwi LOL!!!!

wanawake wa siku hizi hawafahamu kupika na kama wanafahamu ni wajeuri wanakesha facebook, JF etc. Bora kula bar ambapo unakaribishwa vizuri na kwa bashasha na wahudumu
 
nitarudi kuwasaidie kiduchu naona kama wanashidwa kujitetea,Wanaume eeeeeeh njoon huku.
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

noted for action
 
.....ha ha ha mkuu nakupa mia!!!!

.....niko hapa thepicnic na nyumba ndogo dadadek matamthilia kwa kwenda mbele.....

Mkuu upo ara? Nilikuwa mteja wa maeneo hayo nilipokuwa huko. Ila wahudumu wa hapo wako uchi mno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom