gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Well said kk, hii hali ya mizinga mizinga kwa isiyokuwa na kichwa wala miguu inaondoa romantic yote kabisaNyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa
Wengine tumeshaomba poo!Ukishakuwa romantic unaanza na kuambiwa shida maana kwenye uromantic hata huwezi kusema no!mm nikitaka kuwa romantic kwanza huwa natoa angalizo kwamba tunazungumzia mapenzi peke yake siyo muda wa kuelezana matatzo kwa mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kama nakuona ukikandamiza romanticallyHahah!, kwa hiyo mnaamua kuwa wagumu ili msipigwe mizinga!
Mkuu kuna wengine lugha zetu nzito kiasi, kuwa romantic ki lugha inakuwa ngumu kidogo..
espy Heaven Sent
Ukishakuwa romantic unaanza na kuambiwa shida maana kwenye uromantic hata huwezi kusema no!mm nikitaka kuwa romantic kwanza huwa natoa angalizo kwamba tunazungumzia mapenzi peke yake siyo muda wa kuelezana matatzo kwa mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahaba ya ku compare hayafiki mbali, atakosa pa ku compare ndio utaanza kuona uhalisia wa mtu....tufanye kitu roho inapenda.Mwambie mpnz wako unachopenda akufanyie stop kucompare mahusiano yako na ya wengne utabak unaumia mbna mm hunifanyii hiv flan anafanyiwa... Tulia tuUkishindwa pambana na hali yako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani n wanaume pekee ndio wanaotakiwa kuwa romantic?!!!! Mkuu kuna wanawake wengine ni mizigo..ukimwambia Fanya hivi Mara aseme kachoka, cjui Mara nahis ucingiz ,, n.k! AF mambo ya kuitana mabebi watu wazima cifagilii miimi kwan ukiita mpenzi haisaundi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakinai kama hauko kwenye same level naye.Mwanamke wa kibongo ukimfanyia hayo yote anakupanda
Hakawii kukuita bushoke, kuna baadhi nakubali lakini mahaba yakizidi hukinai.
Kuna baadhi ya Bad-Boys wako na Mahaba pia.Kwa uzoefu wangu wanawake wanapenda bad boys. Wanaume wanaojua nini cha kusema kwa wakati gani. Wanawake wengi wanapenda kuwa dominated. Choking, spanking, dirty talking zinawapagawisha sana hawa dada zetu. Lakini ukijifanya romantic kama mithun ujue atakuja kukuona boya.
Pole sana. ...utapata wa kufanana nawe. ..wapo hawajaisha.nimeumizwa
Umenifanya nichungulie play-list yangu kujikagua niko kundi gani.Mi nshakua na demu kwenye simu yake kajaza nyimbo za ROMA, Songa. Yan hiphop zile ngumu. Hacheki muda wote ni sirias. Hatukumaliza miezi mitatu.
hilo nalo ni neno liko kwenye moja ya lugha za mapenzi!!! dah! kumbe niko nyuma sana kwa kwelipumpkin,
Tatizo si kujifunza ila maisha ya tamthilia no tofauti na uhalisia ila ninyi mnataka kuishi hayo maisha bila kujua huo ni uigizaji na siyo maisha halisi.Vingapi tunaiga na maendeleo yanaonekana. ...kwanini tusijifunze huko kwenye TV?
Hata kwenye vitabu pia tuajifunza.
Kweli kabisa..hizo romantic zikizidi kinachofuatia ni mizingaUnakuta mwanamke anakuwa romantic akitaka kuomba hela na ukimwambia ntakupa siku fulani anaitikia haya na story zinakufa hapo mpk hiyo siku ifike ndio utaona msg...
Nimekuelewa sasa...yaani tuna copy kilichoko kwenye tamthilia?Tatizo si kujifunza ila maisha ya tamthilia no tofauti na uhalisia ila ninyi mnataka kuishi hayo maisha bila kujua huo ni uigizaji na siyo maisha halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app