Sema tuu dear hapa anonymous. Mimi nilikuwa namaanisha bad boys wako romantic but in a dirty way that women love. Kwa mfano he will take care of you, buy u gifts, wine and dine you etc and then *** u in the parking lot while choking u, spanking u and talking dirty to uKuna baadhi ya Bad-Boys wako na Mahaba pia.
Ningekupa mifano sema nawasitiri .
Usiichukulie jf serious sana, mbona mambo ya kawaida humu kutaniana mdada...sasa matusi ya nini aisee?Sina chura umesikia nataka kufumuliwa malinda kuwa mstaarabu eti huna sura wendoulieniumba wewe unamamlaka yakuumba mwanadamu mwanaume huna staa kabisa halafu jiheshimu sawa yaani siokila mtu wakumuongelea unvojisikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bebelea busara tu, matusi ya nn aisee?
Sema tuu dear hapa anonymous. Mimi nilikuwa namaanisha bad boys wako romantic but in a dirty way that women love. Kwa mfano he will take care of you, buy u gifts, wine and dine you etc and then *** u in the parking lot while choking u, spanking u and talking dirty to u
Hahahahaha andhaaaaaa kanuniheeeeKwa uzoefu wangu wanawake wanapenda bad boys. Wanaume wanaojua nini cha kusema kwa wakati gani. Wanawake wengi wanapenda kuwa dominated. Choking, spanking, dirty talking zinawapagawisha sana hawa dada zetu. Lakini ukijifanya romantic kama mithun ujue atakuja kukuona boya.
Kweli kabisa kwa akili yako unategemea comments za JF ziboreshe mahusiano yako? Kumbuka mapenzi ni sanaa na kama huwezi usanii endelea kusikilizia maumivu tu.Hapana someni comments mjirekebishe mbona ke wakisoma wanafanyia kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
sio lazma jamaniiHapo kwenye kumuimbia mwanamke nyimbo za mapenzi mi pamenishinda
Thibitisha hayo madai yako..cc MBITIYAZA
Thibitisha hayo madai yako..cc MBITIYAZA
Hawaeleweki wanataka nini.Nikufanyie yote hayo na mkate wa kila siku ntatafuta saa ngapi!!?
Hela hela hela ndo wimbo wa taifa khaa, hadi kunako tunawahi wahi tu ili mradiNyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa
Yaani acha kabisa mkuuKazi tunayo duh maana mnataka tuwahonge,tuwakojoze,tusiwe vibamia,six packs na hii romanticukigeuka pembeni Sizonje anatukimbiza mbio mbio hakika hakuna rangi tutaacha ona.
Ndo maana me nimevuka bodaKiuhalisia jamii zetu kimaisha Hatupo romantic na hii ni jadi yetu.
Hata lugha tu kiswahili hakipo romantic. Chukulia kispanish au English, baby I love you, baby I miss you... ina-sound vizuri.
Ndiyo maana huwa mnapenda kutuongelesha vingereza kwa mnaojua.
aggyjay pia kuna wanawake wengi tu hawako romantic... mwanamke hata kudeka kidogo anashindwa
Imani yako itakuponzaooh doris wapo...amini wapo na utampata!
wengi sana tunaumizwa lakini tuna imani siku tutampata sahihi.