Wanaume kwanini hampo romantic?

Wewe naona huongelei wanaume. Hizo zote ulizotaja ni tabia za beberu mbuzi si za wanaume. Ila kaa ukielewa maisha pia siyo romantic
 
Tatizo wabongo tunapenda maigizo sana na kingine tunataka yale mambo ambayo wale waphilipino wa tamthlia wanazoonesha Star TV ndio tuyafanye wakati kiuhalisia mazingira hayaruhusu. Wewe chukulia poa tu hata kama ukipigwa mtama wewe tulia tu
Hapana someni comments mjirekebishe mbona ke wakisoma wanafanyia kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kumuimbia mwanamke nyimbo za mapenzi mi pamenishinda
 
Utakuwa romantic wakati hujui kesho utakula nini atakama unauhakika hujuii lini biashara yako itafungwa hahhahahahahahahahaha Romqntic ni kwa wenye uhakika na maisha sio lala hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wengi wenu mkioneshwa upendo na kudekezwa sana after sometime ghafla mnabadilikaga na kuwa washenzi. Dharau na kiburi kingi mno na kujiona nyie ndio mpo juu zaidi yetu. Utakuta KE anakufanya kama hayawani na kukupelekesha mputa mpaka unaona duble duble...Lolote unalosema hasikilizi anakupuuza,majibu ya nyodo na ukiendelea kulialia unakuwa bushoke wake kabisa na anakuongezea mme mwenzio pembeni ili akunyooshe vizuri kisha anakuacha boya wake bila huruma.

Tunajua madhara na hio cycle inavyokuwa mpaka mwisho, wacha tukaze tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…