Wanaume kwanini hampo romantic?

Tatizo wabongo tunapenda maigizo sana na kingine tunataka yale mambo ambayo wale waphilipino wa tamthlia wanazoonesha Star TV ndio tuyafanye wakati kiuhalisia mazingira hayaruhusu. Wewe chukulia poa tu hata kama ukipigwa mtama wewe tulia tu
 
Kwa kweli
 
Na ndio maana mapenzi ya Tanga ya ladha tofauti na mikoa mingine coz na wanawake nao wanajitahidi kuwa romantic na kutimiza majukumu yao ipasavyo.

Sasa huku kwetu mnataka wanaume tuwe romantic wakati nyie wanawake mnakaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…