wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

mdogo wangu hebu niambie kwanza leo nn kimekusibu mpendwa wangu??
ni hii miwanawake inashobokea miwatu haina hata maana mjini dadangu! mtu hana hata chupi atakusaidia nini ? MAMBO YA KUHARIBIANA FUTURE UZEENI YA NINI SASA?...TEMBEA NA MTU WA MAANA BASI HATA WATU TUKIONA TUBAKI NA MAJIBU WENYEWE!!!! ETI WALITUMIA NA CONDOM...AMEACHA UTAMU WAKE HOME ANAFATA MAPIPI KWENYE MAGANDA HAYANA HATA LADHA BWANA..KIRUUUUUUUUUUU
82.jpg
 
kwani lazima tuvae boksa? Mbona mshikaji yuko poa tu na chupi yake,halafu kufumaniwa ni jambo la kawaida mno kwangu.
Nalog off
mtavaa kwa lazima...mchupi umepauka kama nini haujulikani ni material gani..brand sijui ya wapi? Ovyooo!
 
kwani lazima tuvae boksa? mbona mshikaji yuko poa tu na chupi yake,halafu kufumaniwa ni jambo la kawaida mno kwangu.
Nalog off

Siku ukija kuliwa Kabang baada ya kufumaniwa ndo utajua kama kufumaniwa ni jambo la

kawaida ama...Nalog in
 
ni hii miwanawake inashobokea miwatu haina hata maana mjini dadangu! mtu hana hata chupi atakusaidia nini ? MAMBO YA KUHARIBIANA FUTURE UZEENI YA NINI SASA?...TEMBEA NA MTU WA MAANA BASI HATA WATU TUKIONA TUBAKI NA MAJIBU WENYEWE!!!! ETI WALITUMIA NA CONDOM...AMEACHA UTAMU WAKE HOME ANAFATA MAPIPI KWENYE MAGANDA HAYANA HATA LADHA BWANA..KIRUUUUUUUUUUU
82.jpg

mie nimeshangaa tu kwamba wanaofumaniwa target ni wanaume manake majuzi kuna gazeti moja lilimtoa mfanyabiashara maarufu wa hapa dar sijui anaitwa MANFREE sijui ni FREEMAN akifumaniwa na mke wa mtu.

napata hisia kwamba hii ni mtaji kwa baadhi ya watu
 
Hii ni mmu siyo udaku wa shigongo hujui yeye akipatacho kwake!!ke wengi wenye akili km zako huwa hawapigiwi hata whistle
 
mie nimeshangaa tu kwamba wanaofumaniwa target ni wanaume manake majuzi kuna gazeti moja lilimtoa mfanyabiashara maarufu wa hapa dar sijui anaitwa manfree sijui ni freeman akifumaniwa na mke wa mtu.

Napata hisia kwamba hii ni mtaji kwa baadhi ya watu
so unadhani ni blackmail flani?
 
Hahahaahaaa............nafikiri kufumaniwa ni one of the lowest point binadamu anafikia. Sipati picha mwanamke kujishusha kiasi hicho kisa kutokea kwenye cover la filamu
 
so unadhani ni blackmail flani?

sijui hata nisemeje ila ukweli kwa stori zote mbili inaelekea ni blackmail...........
sijui na upande a pili wa ke haudhaliliki manake kuliko kwenda upigwe picha za fumaniz ni bora usiende
 
We Muha/mpogoro You are psychologically affected havn -ve altitude Towards men.!

Sasa we nae unakosea na ni u ----- kwanini utaje makabila ya watu hapa, kama ni attack go straight to the person bana.... Inakuwa siyo fresh. Anyway... Smile hata mie napata taabu kidogo umekuwa over reacting huwezi stick kwa issue moja kwa kiasi hicho bana, may be wamekutenda.... Tujue. Si kila man hana boxer/chupi za maana, kama imetokea kwa mshikaji ni yeye personally na usi generalize bana.
 
Hii ni mmu siyo udaku wa shigongo hujui yeye akipatacho kwake!!ke wengi wenye akili km zako huwa hawapigiwi hata whistle

we nae kafie mbele....kwani umelazimishwa ku comment!!!!!!thread ziko nyingi sana hum ndani

hata wewe ukifumaniwa tukapata picha zko tutakudiscuss vile vlie....
 
kwanini hiyo taulo isingedondoka jamani!!!
 
sasa we nae unakosea na ni u ----- kwanini utaje makabila ya watu hapa, kama ni attack go straight to the person bana.... Inakuwa siyo fresh. Anyway... Smile hata mie napata taabu kidogo umekuwa over reacting huwezi stick kwa issue moja kwa kiasi hicho bana, may be wamekutenda.... Tujue. Si kila man hana boxer/chupi za maana, kama imetokea kwa mshikaji ni yeye personally na usi generalize bana.
mi sijaover react bwana...kwanini mnatuvalia michupi mibaya hivi? Mnaudhi mjue gest chafu cheki ule mtaulo ni fair kweli?
Mbona nyie mmesema mawigi yetu yananuka na hatujamindi...vaeni chupi nzuri bwana mbona mchina kaleta vitu kibao tena cheap sana tu...kwanini mtu uvae dekio?
 
Back
Top Bottom