mchokozi mpende
Member
- Sep 10, 2018
- 36
- 42
daaaa nimecheka sana ........robo sekundeSiku hizi wanaume tume amua kwamba kila mtu apambane na hali yake ' ...
Haiwezekani utamu tupate wote halafu na pesa tutoe pia tuanze kuhangaika na kumrudhisha mtu ambaye baada ya Tendo unaingia mfukoni na kutoa pesa '
Tume shtuka kwamba tuna onewa Aise. ......
Mtoa mada una lala Mika dakika 1 ...kwenye kikao chetu wanaume tume discuss na kuamua kwamba tupunguze hiyo dakika moja Ibaki mpaka robo sekunde