Wanaume kuwahi kufika kileleni dakika 1

kinole1984

Member
Aug 4, 2017
65
49
Asilimia 90% ya wanaume siku izi wanafika kileleni ndani ya dakika 1 tuu baada ya hapo chali!


Wanaume shida nini?

Alafu unajiita kidume.

Ndomana wanawake wameamua kuwa single tuu, mana hakuna raha wanayopata.




Mnakula chipsi mno sijui, duu aisee
IMG-20190810-WA0031.jpeg
 
Siku hizi wanaume tume amua kwamba kila mtu apambane na hali yake ' ...

Haiwezekani utamu tupate wote halafu na pesa tutoe pia tuanze kuhangaika na kumrudhisha mtu ambaye baada ya Tendo unaingia mfukoni na kutoa pesa '

Tume shtuka kwamba tuna onewa Aise. ......

Mtoa mada una lala Mika dakika 1 ...kwenye kikao chetu wanaume tume discuss na kuamua kwamba tupunguze hiyo dakika moja Ibaki mpaka robo sekunde
 
Binafsi ni hivi... Ukiwa kijijni angalau mwezi hivi ama zaidi, (achilia mbali chakula) una kuwa ma hamu na kiu ya mapenzi. Sababu kubwa ni kwamba, kuliona tu goti la mwanamke ni shughuli. Sasa ukija mjini ile wiki ya kwanza kila mwanamke ni mzuri maana maungo yako wazi, kila wakipita unageuza shingo, ila baada ya wiki kadhaa unaona kawaida, wala hustuki tena na ile kiu inakata maana unaona kila kitu ni kawaida. Mavazi ya wanawake wengi mjini yamekua chanzo, sitaki kuamini kuwa chips haiana faida hata kidogo.. Na ifahamike hamu ya ngono na ku-perform vema ni suala la akili iliyotulia, vinginevyo yatasemwa mwengi..
 
Nimemaliza chips hapa sahani moja. Sasa hivi nakula wali na samaki mchemsho. Naangalia nitafikia wapi, kama bado niendelee kugonga misosi mingine.
 
Asilimia 90% ya wanaume siku izi wanafika kileleni ndani ya dakika 1 tuu baada ya hapo chali!


Wanaume shida nini?

Alafu unajiita kidume.

Ndomana wanawake wameamua kuwa single tuu, mana hakuna raha wanayopata.




Mnakula chipsi mno sijui, duu aisee
View attachment 1178461
Halafu umekata mipande mikuuuubwa kama vidole bhana.
 
Nguvu zimeisha wengine zpo Low...Mabint wa siku hizi wanajiweka uchi sana mtaani mapaja yako nje Matako siku iz yanasitiri chupi badala ya chupi kusitiri Matako..sidiria havaliwi wengine hawavai chupi alafu wanavaa nguo za kubana...Mwanaume rijali akiona Network inakua 5 Bars/5G H+/ 1TB/s
Matokeo yake akipata show nguvu zisha pungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom