Wanaume kuwahi kufika kileleni dakika 1

Wanaume kuwahi kufika kileleni dakika 1

Binafsi ni hivi... Ukiwa kijijni angalau mwezi hivi ama zaidi, (achilia mbali chakula) una kuwa ma hamu na kiu ya mapenzi. Sababu kubwa ni kwamba, kuliona tu goti la mwanamke ni shughuli. Sasa ukija mjini ile wiki ya kwanza kila mwanamke ni mzuri maana maungo yako wazi, kila wakipita unageuza shingo, ila baada ya wiki kadhaa unaona kawaida, wala hustuki tena na ile kiu inakata maana unaona kila kitu ni kawaida. Mavazi ya wanawake wengi mjini yamekua chanzo, sitaki kuamini kuwa chips haiana faida hata kidogo.. Na ifahamike hamu ya ngono na ku-perform vema ni suala la akili iliyotulia, vinginevyo yatasemwa mwengi..
Nakuunga mkono kaka.
 
Acha kutafuta sababu Mkuu

Basi we ni kahaba sana. Kama watu zaidi ya bilioni wamekupitia na kufika huko usemapo kwa dakika 1
 
Kwan chips zina madhara gani kiafya na unatofautishaje chips na chakula kingine, au kutokufaa kwa chips na chakula kingine kunatokanaje.
Hata mimi nataka kujua chips zinauaje nguvu za kiume?

Maana zinapigiwa kelele sana

Naomba somo tafadhali wadau
 
Hivi tatizo kukojoa haraka au kutosimamisha ?naweza kojoa haraka cha kwanza kisha cha pili nikakusulubu saa nzima hapo jee?
 
Hivi tatizo kukojoa haraka au kutosimamisha ?naweza kojoa haraka cha kwanza kisha cha pili nikakusulubu saa nzima hapo jee?
Cha kwanza ukiweza zuia Ile phase ya kukojoa haraka basi utashangaa unakaa mda mref round ile ile ya 1...go and practice
 
Kukojoa haraka inategemea na misisimko ya mtu ......muda mwingine maumbile yanasababisha kufoka mapema au kuchelewa......
 
Siku hizi wanaume tume amua kwamba kila mtu apambane na hali yake ' ...

Haiwezekani utamu tupate wote halafu na pesa tutoe pia tuanze kuhangaika na kumrudhisha mtu ambaye baada ya Tendo unaingia mfukoni na kutoa pesa '

Tume shtuka kwamba tuna onewa Aise. ......

Mtoa mada una lala Mika dakika 1 ...kwenye kikao chetu wanaume tume discuss na kuamua kwamba tupunguze hiyo dakika moja Ibaki mpaka robo sekunde
😂😂😂😂

Wajibebe au siyo
 
Back
Top Bottom