Wanaume kuwa na aibu za kitoto

Wanaume kuwa na aibu za kitoto

Usilete uchaga Tanga utaishia kupiga nyet....!!!
Unakuta mwanaume anaaibu kama kademu kaform 3c,hawezi kumshika mpenzi wake hata mkono mbele ya watu,hawezi kumkiss mpenzi wake hata kiss la shavuni mbele ya watu yani mwanaume anakua na utoto sana.
Wengine wanajifanya ni wagumu mara wao ni hip hop hawa wanatokea kaskazini hawako romantic kabisa

Mwenzio naitwa danga sina mapenzi ya kitoto..!!!
Naona umetuamulia kweli kweli aisee ... By the way mapenzi Chumbani ati.
 
Back
Top Bottom