Wanaume kuwa na aibu za kitoto

Wanaume kuwa na aibu za kitoto

awamu ya tano hakuna mwanaume mwenye aibu
 
Ni wachache sana tusiokua na aibu na tupo very open and free na maisha yetu...

Mimi mahondaw wangu popote pale napojisikia i kiss her, hold her, hug her, carry her...


Cc: mahondaw
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji182] [emoji182] [emoji8] [emoji182] [emoji182]
 
unadanga sana mkuu....mpaka ukutane na wazee wa double clutch,akili itakuka saa..
 
Nahisi ndani ya moyo wako hauna upendo wa kweli. Tazama kesho yajaa
 
Atakuvuruga na atakuachia vumbi we subiri. Endelea kudanga
 
Mimi ni mchaga piwa sithubutu kufanya hivyo maana sio maadili yetu
 
Usilete uchaga Tanga utaishia kupiga nyet....!!!
Unakuta mwanaume anaaibu kama kademu kaform 3c,hawezi kumshika mpenzi wake hata mkono mbele ya watu,hawezi kumkiss mpenzi wake hata kiss la shavuni mbele ya watu yani mwanaume anakua na utoto sana.
Wengine wanajifanya ni wagumu mara wao ni hip hop hawa wanatokea kaskazini hawako romantic kabisa

Mwenzio naitwa danga sina mapenzi ya kitoto..!!!
Maelezo yako uliyoyaekeza ndo ya kitoto

Yaani we ndo kitoto kabisa
 
kuna pande kuu nne za dunia ila kila siku kaskazin kaskazin, kwan mpk mjilinganishe na kaskazin? Kuwasha washwa tu na battle za kilofa, mda wote unawaza mapenzi tu, ndo mana kila cku kulia lia, kabla ya kuwaza mapenz kwa nini usianze kuwaza kwanza vitu kama Upendo, Mungu na Pesa?
 
Me labda ukaskazini unanisumbua, Hakuna utoto Kama mnatembea barabarani mnashikana hovyo sokoni Etii mabusu utoto mkubwa uwoo Ivo vitu vina mazingira yake tofauti na hapo naona ni effects za Korean drama
 
Back
Top Bottom