Wanaume kuuza karanga jijini mbeya…!!

Wanaume kuuza karanga jijini mbeya…!!

Mkuu mim sijafany ku-criticise hii biashara lakin tatizo vijana ni wengi sana wanaofany hii biashara,kiasi kwamba unaweza fika sehem ukajiuliz je hizi karanga kwel wote wanauza? ,,,ndiyo sababu ya mim kuuliz kama wanapata faida na,wao kuwez kuendsha maisha yao ,soma thread yangu uielew vizuri mkuu……!!
Ayo unajiuliza wewe bila kuwafata direct kuwauliza na kuwapa ushauri ikiwezekana.je unafikiri kuanzisha thread apa utakuwa umewasaidi wahusika ambao 99% hawaingii jf au kuna majibu uliyategemea hapa mi nimechukulia kama umewadharau kana kwamba hawajui walifanyalo .

Mi kwa upande Wangu nawapongeza maana wamejituma uo ni msingi kuna watu wapo tu vijiweni ni omba omba na wizi+kubet .

Mtu akianza na kidogo ata akipata kingi inakiwa rahisi kukilinda .Wewe kama mambo safi piga goti mshukuru mungu hatuwezi kuwa sawa wote maskini na tajiri wote tunatehemeana
 
Mkuu mim sijafany ku-criticise hii biashara lakin tatizo vijana ni wengi sana wanaofany hii biashara,kiasi kwamba unaweza fika sehem ukajiuliz je hizi karanga kwel wote wanauza? ,,,ndiyo sababu ya mim kuuliz kama wanapata faida na,wao kuwez kuendsha maisha yao ,soma thread yangu uielew vizuri mkuu……!!
Mwanzon nilikwambia tatizo lako ni huo ugeni. Mbeya pako tofaut sana na mikoa mingine biashara nyingi hapa hutegemea msimu wa bidha a husika. Kuna miez ukija utakuta machungwa sana, mara ma apple sana,mara utakuta kitu inaitwa mafyulis, hivyo hivyo karanga,mihogo,viaz utamu nk. Na ukiona wengi wanauza ujue vinauzika. Tofauti na miji mingine pia nami nlivofika mbeya mara ya kwanza nlishangaa kwamba ni nadra huku ukakuta vijana wanauza soda za kopo au maji na biskut kama miji mingine wao hupenda vitu vya asili wanavyodhalisha wenyewe
 
Asante kwa ufafanuz wako mkuu…!!
 
Mimi nimemuelewa mtoa mada vizuri kabisa wala hakua na nia ya kudharau wala sioni sababu ya kumlaumu. Hivi kweli Watanzania tunaweza kujilingananisha na mataifa mengine katika kuona fursa na kuzichangamkia? Hapa naona tunajifariji kuwa hawa wanaouza karanga wamejitahidi. HoJa hapo ni kuwa mkoa wa Mbeya unafursa nyingi za vijana wenye nguvukazi kujipatia kipato kutokana na shighuli za uzalishaji ambazo zinatija zaidi badala ya kuwa wachuuzi wa bidhaa...Nimuhimu tukabadili mtizamo katika kuona fursa ma kuzichangamkia...
 
Habarin za muda huu Wanajamvi…!!

kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu,, nipo Mbeya kama mwezi wa tatu hivi kwa shughuli binafsi,, lakin kitu nilichokion ni wimbi kubwa la wanaume hasa vijana wenye nguvu kuzunguka mjini na ungo au masahani ya karanga za kukaangwa na kuchemshwa kama biashara yao!!

Wakuu nielewk sio kwamba nina criticise wao kufanya biashara hapana,,tatizo ni kwamba hawa vijana bdo wana nguvu inakuwaje kushinda mjini wanatembeza karanga tena unakuta kwenye ungo ana karanga hazifiki hata za elfu tano,, anaweza kuwa nazo za elfu mbili au elfu tatu!!

Vijana hawa wanawezaj kuendsha maisha kwa kutmbeza karanga za elfu mbili kwa,siku na huenda karanga zenyew zisiishe kwa siku moja so ataenda nazo mpka kesho hizo hizo za elfu mbili.

Kwa maono yangu Mbeya ni mkoa kati ya mikoa iliyobarikiwa kwa kuwa na hali nzuri ya hewa na ardhi ni kubwa tu ya kutosha sasa kwanini hawa vijana wasijiajiri kwenye kilimo kuliko kuhangaika mijini na vikaranga vya elfu mbili mbili??

Maeneo niliyofanikiwa kufika mfano Mwanza,,Dodoma,Dar es salaam sijaona sana biashara hii ikifanywa na wanaume.

Kwa anaeelewa nin tatizo au sababu ya vijana hawa kujihusisha na shughuli hizi ambazo kwenye mikoa mingi tumezoea kuona wanawake ndio wakizifanya anieleweshe niondokane na mawazo haya…!!! Nawasilisha.
wakinga hapo hapo ndio wanatokea........

chukua namba ya huyo muuza karanga, baada ya miaka mitatu usipomkuta tunduma na duka kubwa la jumla, basi utamkuta k'koo ana frame yake!
 
Ile biashara inafaida kubwa sana,wanaingiza faida kumzidi mwenye duka la mtaji wa 3mil.
 
Back
Top Bottom