Wanaume kusoma Degree za Nursing Tanzania 2019

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,344
Baada ya kuwaambia vijana kuwa kuna fursa kwenye Nursing na wengine kutueleza kuwa jibaba haliwezi kusomea Nursing, leo nimeangalia selections za UDOM round One na Two (wasiokuwa na multiple selections) na nimefurahi kuona vijana wa kiume wakichangamkia hiyo fursa. Round ya kwanza majina 65 yalitoka na 49 waliochaguliwa ni wanaume ambayo ni asili mia 79. Round ya pili kati ya waliochaguliwa 70, 58 ni wanaume takriban asili mia 82.9. Kwa ujumla wao Round One na Two kati ya 135 waliochaguliwa asili mia 79 ni wanaume. UJUMBE HUU UWAFIKIE VIJANA WANAOTAFUTA FURSA NA WAZAZI WAO-Nursing pia ni fursa. Niwape hongera wanaume walioomba kujiunga na hii fani.
 
Hivi kazi kubwa ya nesi ni nini? Kuchoma sindano matakoni tu?
Yaani unasema wanasoma miaka 4 na internship mwaka mmoja ili waweze kuchoma sindano matakoni? Soma program ya nursing ikoje na pia professional body yao inasemaje ndio utawaelewa vizuri.
 
naomba link ya uzi wako uliowashauri plz
 
Ni ujinga na upumbavu kudhani kua nursing ni kazi za wanawake tu, nina mdogo wangu wa kiume ana Bsc in Nursing aliwahi kupata kazi kwenye shirika moja na ni Coordinator wa projects zote. Aliingia kwenye competition na MDs kwenye interview kabla ya ajila yake ila yeye alikua the best. Anavuta million 5 zake kila mwezi na marupu rupu juu. Ninyi andeleeni kupambishana kuhangaika na makozi yasiyoeleweka huko
 
Ni course ambayo bado ina graduates wachache,unaweza kusoma na kufikia PHD kwa haraka na ukawa kwenye level nzuri haraka. Haina competition kwenye ajila
 
Kozi nzuri ila wengi wanasoma vyuo vya private kwaani vigezo vya pass za chemisry, bios na physics ni janga.

Nilikimbilia kusoma degree ya takwimu ambayo maslahi kisoda. Nitarudi hakika nikasome nursing
 
Yaani unasema wanasoma miaka 4 na internship mwaka mmoja ili waweze kuchoma sindano matakoni? Soma program ya nursing ikoje na pia professional body yao inasemaje ndio utawaelewa vizuri.
Kwani hawa wanaojiita mabaharia wanasemaje kuhusu kujiunga na hii kozi?
 
Ni ujinga na upumbavu kudhani kua nursing ni kazi za wanawake tu, nina mdogo wangu wa kiume ana Bsc in Nursing aliwahi kupata kazi kwenye shirika moja na ni Coordinator wa projects zote. Aliingia kwenye competition na MDs kwenye interview kabla ya ajila yake ila yeye alikua the best. Anavuta million 5 zake kila mwezi na marupu rupu juu. Ninyi andeleeni kupambishana kuhangaika na makozi yasiyoeleweka huko
Hili ni tatizo kubwa KWA vijana wengi wa Tz, wanapenda kusomea mambo ambayo mwisho wa siku wanajikuta hawawezi kujiajiri wala kuajirika, wapo wapo tu mtaani.

Tatizo lingine ni kuwa vijana wengi hawapendi kusomea masomo magumu wakiwa shuleni hususani masomo ya Sayansi, eg Biology, Chemistry, Physics, Maths, etc.Wao wanapenda kusomea masomo rahisi rahisi, wanataka sana kuishi "maisha mteremko", matokeo yake wanagraduate halafu wapo tu !mtaani, badala ya kuishi maisha mteremko waliyotarajia wanakuwa na maisha magumu zaidi, na kisha kuilaumu Serikali kuwa haitaki kuwaajiri.
 
Hao vijana wanoibeza nursing soon watangana na wenzao hapa jukwaani waitukane serikali wakati wenzao wanapiga mpunga huko duniani
 
Mbona wameanza mda mrefu tu,kairuki pale jamaa yangu alichaguliwa nursing 2014
 
Ni ujinga na upumbavu kudhani kua nursing ni kazi za wanawake tu, nina mdogo wangu wa kiume ana Bsc in Nursing aliwahi kupata kazi kwenye shirika moja na ni Coordinator wa projects zote. Aliingia kwenye competition na MDs kwenye interview kabla ya ajila yake ila yeye alikua the best. Anavuta million 5 zake kila mwezi na marupu rupu juu. Ninyi andeleeni kupambishana kuhangaika na makozi yasiyoeleweka huko
Kweli maisha hayako fair Mimi na ualim wangu napata laki 3 dooshiiiii
 
Back
Top Bottom