Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Huwezi kuona madhara kwa sababu hauna organ (kiungo) ambako zitafanya kazi.Wanawake tukitumia inakuwaje? Mimi nimeyala sana enzi hizo nikiwa mdogo mdogo. Tulikuwa tunayaita 'mafurahishaa". Hivyo vimiba vyake vikikuingia ni kero, unawashwa sana.
Sikuona madhara
Bahati mbaya sijui Kiswahili chake Kingereza yanaitwa cactus pearWanawake tukitumia inakuwaje? Mimi nimeyala sana enzi hizo nikiwa mdogo mdogo. Tulikuwa tunayaita 'mafurahishaa". Hivyo vimiba vyake vikikuingia ni kero, unawashwa sana.
Sikuona madhara
Wewe kula kwa wingi [emoji3][emoji3]utajua linafurahisha nini Citiezb.Oya mbona mimi sielewi...furahisha nini?
Wewe kula kwa wingi [emoji3][emoji3]utajua linafurahisha nini Citiezb.
Haina tabu nitakutumia. Ufurahishe na wewe.Tatizo napoishi huwezi kuyapata (naishi bondeni kwa madiba)
Na mimi piaHaina tabu nitakutumia. Ufurahishe na wewe.
Upo pia kwa madiba?Na mimi pia
Sent using simu mbovu
Prickly pearBahati mbaya sijui Kiswahili chake kingereza yanaitwa Cactus pear
Tabora enzi za udogo mafurahisha tulikuwa tunayapiga kwa majani ya matawi kuondoa vimiiba vyake.Wanawake tukitumia inakuwaje? Mimi nimeyala sana enzi hizo nikiwa mdogo mdogo. Tulikuwa tunayaita 'mafurahishaa". Hivyo vimiba vyake vikikuingia ni kero, unawashwa sana.
Sikuona madhara
Tabora enzi za udogo mafurahisha tulikuwa tunayapiga kwa majani ya matawi kuondoa vimiiba vyake.
Sijui kwanini yanaitwa mafurahisha, inawezekana kuna kaukweli ndani yake.
Umenukumbusha mbali kwa kweliSisi tylikuwa ukilichuma unarnda kwenye mchana unalikanyaga then unalizungusha mbele nyuma hadi miiba inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuja fasta nikajua ni tunda pendwa, kumbe uo ujinga
tunda pendwa la mornie ndio mpango mzima, achana na uo ujinga wa mtoa madaKwani Hilo tunda pendwa hujala morning hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hili Ni tunda furahisha basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana!Bahati mbaya sijui Kiswahili chake kingereza yanaitwa Cactus pear