karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Wanawake kutwa kucha kulalamikia wanaume sio waaminifu!! Charity begins at home, ni wanawake wangapi wenye mahusiano na wanaume wenye mahusiano na wanawake wenzao huku wao wakijua tena in worst cases watu wenye familia?
Why should it be wanaume tu kulaumiwa, kwa nini wanawake wasianze wao kwa kujiheshimu na kuheshimu mahusiano ya wanawake wenzao?
Hata kwa kesi ambazo mwanamke anaingia kwenye mahusiano na mwanaume bila kufahamu kuwa the man is engaged somewhere, pia ni uzembe.
Alifanya juhudi gani kuhakikisha anajua relationship status ya mwanaume?
Je, alikataa mahusiano kabla ya ndoa, kwa sababu kama kila mwanamke angesubiri ndoa, na kila mwanamke angekataa mahusiano kabla ya ndoa cases za cheating zitapungua sana.
Mzigo wa kukosa uaminifu ni wetu sote, tushirikiane kuutokomeza.
Kweli.sio muda wote wanaume tu