My point ni kwamba, society yetu ina double standards. On the one hand inaonekana ni sawa, chivalry etc kwa mwanamme kuwa provider and all. On the other hand, wanaume wengine wakitaka faida za "usawa" ili wao nao wawe provided for wanakuwa labelled "wanaume kama mabinti".Mimi nafikiri wanaopigania usawa wa jinsia wangeanza na kuipiga vita hii dhana inayo mu elevate mwanamme na in the procss kumtwika reponsibilities - angalau the appearance of responsibilities- disproportionately.
Angalia hata jina la wimbo wenyewe limekaa upande, "Wanaume kama mabinti" what mesage is she trying to send? Perhaps on the subliminal level JD anaona mabinti kuwa tegemezi ni sawa tu, ila wanaume wakianza kuwa tegemezi inakuwa si natural position yao, mimi naona as much as this phenomena is a problem for both genders, hizi approach za kina JD nazo, zilizoota katika msitu wa tradition, zinapalilia matizo.
Wanaume kama mabinti kwa mtu anayefikiri, in this context, is insulting to mabinti, kwa sababu ina propagate the notion kwamba mabinti naturally ni walegevu na tegemezi, kwa hiyo wanaume wasitake kujilegeza na wao kuwa kama mabinti.
Kama wanawake wanataka usawa kuna mawili, wakubali wanaume wanaokuwa "kama mabinti" au wakatae hii notion ya "mabinti" kuwa naturally walegevu na wategemezi.
There is no trade off between the two.
Mkuu Kiranga,
Hii nimeipenda kwa kuwa wakati huu ukiangalia iko kama mila zimekorogwa sana. Sasa hivi tunaishi ndani ya jamii yenye mila tatu, Mila zile za zamani zilizobakia vijijini zaidi, Mila za Kimjini na za Kizungu. Hizi za kizungu zinachochewa sana na mapicha, TV, safari za Ulaya na wageni wengi wanaotutembelea kutoka dunia ya kwanza nk. Katika thana hii ya mila na desturi, correct me if I am wrong, jamii hutegemea sana wakina mama ndiyo wanaowafundisha watoto mila na desturi toka utoto. Ukiuliza mabinti wa kisasa kwamba watakapoolewa wamejiandaa kufuata maadili yepi ndani ya ndoa, ya Kikabila alilotokea, ya kimjini au ya kizungu? Sijawahi kumpata aliyenipa jibu. They tend to avoid answering the question.