Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Kazi kweli kweliHahahaaaa. Ni kama mbolea rafiki ili penzi limee. Teh
Kazi kweli kweliHahahaaaa. Ni kama mbolea rafiki ili penzi limee. Teh
Wacha kabisa rafiki.Kazi kweli kweli
Vipi upo maeneo yako muhimu au umetegea?Wacha kabisa rafiki.
Homeboy mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua...Sawa nimekupata
Kwan ww ukiachwa utabaki hivyo hivyo si utaenda kwa mwingine?. Inaonyesha una njaa wewe unategemea papuchi kama kivutioUnapomuacha mpenzi mmoja na kwenda kwa mwingine ujue unakaribia kufa ....
Kweli hujakosea homeboyHomeboy mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua...
Muda ambao wewe hutoi tunawapelekea wanao toa.
Siku ukitoa wale hawapati.





Umetisha sana mana na haya maji yanayodondoka mimi nikajua leo hakieleweki![]()
![]()
![]()
nilishatia timu rafiki.
Tupige dili tukamate mahelaKweli hujakosea homeboy
Hahahaaaa. Wacha kabisa rafiki. Nimefikiria mara mbili nikaona kulala hapana aiseee. Wacha tu nitie maguu.Umetisha sana mana na haya maji yanayodondoka mimi nikajua leo hakieleweki
Umeamka Poa Dada yangu??? Hahahaha ndivyo Dada ilivyoHahahaaa. Lol.
Hivyo eeeee?
Hahahaaaa. Wacha kabisa rafiki. Nimefikiria mara mbili nikaona kulala hapana aiseee. Wacha tu nitie maguu.


mke na mume kweli mnaweza kaa mwezi bila kufanya mapenzi? mke na mume hakuna masharti aise labda kama unaongelea wapenzi wa kawaida tuWewe umenipenda lazima unitunze,mke ni ua... Lazima lipaliliwe
Hahah!! Yani hii pesa imekua ni hitaji muhimu sana katika mahusiano
Bila pesa mzee ni shida maana unaweza kupata mtoto asiekuomba ata senti moja lakini bado ikawashida tu maana utahitaji umpe zawadi, au mtoke kidogoKabisa mkuu, pesa imekuwa siraha ya maangamizi ya mahusiano
Hahahaaa. Pole mwaya mdada. Jifunze kutafuta ya kwako na ukiamua kumpa ile kitu mpe kwa mapenzi yako kwake na sio kutegemea ujira.
Bila pesa mzee ni shida maana unaweza kupata mtoto asiekuomba ata senti moja lakini bado ikawashida tu maana utahitaji umpe zawadi, au mtoke kidogo