mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,551
- 45,106
Eeeeenh! Eenh!Hahahaa. Sio kwangu bana Mbalizi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125]
Eeeeenh! Eenh!Hahahaa. Sio kwangu bana Mbalizi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mngh!Hahahaaa. Guna tu weye.
Hahahaaaaa. LolKabisa mkuu, pesa imekuwa siraha ya maangamizi ya mahusiano
Umeona sasa. Maneno kuntu haya rafiki.Bila pesa mzee ni shida maana unaweza kupata mtoto asiekuomba ata senti moja lakini bado ikawashida tu maana utahitaji umpe zawadi, au mtoke kidogo
Hahaaaa. Mie hili somo nilishalifaulu sijui sababu nilianza kuijua pesa nikiwa kabinti yaani sitegemeagi ya mtu mieeeee.Kabisa mjifunze kutafuta vya kwenu hahahaha
Hahahaaaa. Umeonaeeee.Kabisa ndugu, na hata kama haombi na wewe ukajifanya mgumu humpi siku zote kuna wajanja wataanza kumpa na hapo ndipo unakuwa mwanzo wa kumegewa
Pongezi kwakoHahaaaa. Mie hili somo nilishalifaulu sijui sababu nilianza kuijua pesa nikiwa kabinti yaani sitegemeagi ya mtu mieeeee.
Hiyo hiyo. [emoji12] [emoji12] [emoji12] .Ile kitu au sio
Hahahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ukimbie hivyo hivyoUmeona sasa. Maneno kuntu haya rafiki.
Kumbe saa ingine huwa unawaza mbali bana. [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mngh!!!Hiyo hiyo. [emoji12] [emoji12] [emoji12] .
Ndio hiyo hiyo. Hahahaaaaa
Si ndiooo.Waacha weee![emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahaaaa. Umeonaeeee.
Mikono kuwa ya birika iwe kwa kiasi sasa sio inazidi hadi mkono wa birika wenyewe hapo lazima wajanja wachukue nafasi. Koh
Mambo ya kukuzia hayo eenh!Si ndiooo.
Kama unalima halafu huweki mbolea si lazima mche usichipue yaani utaishia kusinyaa na hatimaye kufa kabisa. Teh.
Ahsante rafiki.Pongezi kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ukimbie hivyo hivyo
Mmh. MmhMngh!!!
Hahahaaaaaaa
Oooh! KushukuruAhsante rafiki.