Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Staki kuamini hili swali kaliuliza dada yangu.

Mo lazima atakuwa ndiye anatumia account yake
Dada yako ndio kauliza, na ninahitaji majibu kwakweli. Maana sio kwa kutubemendea ndugu yetu kiasi hicho.
 
Kissing, just like any intimate action, can be taught.

Instead of complaining, why don't you show your partner how you'd like to be kissed.

Remember everyone kisses differently, hata awe a great kisser, ila kama they aren't kissing you the way you'd like to be kissed, lazima utamuona hajui tuu. So communicate with your partners badala ya ku-complain.
Wengi wao hawependi kufundishwa...wajuaji tuu.
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.

Kwahiyo umetuunganisha wote hatujui kukiss
 
Dada yako ndio kauliza, na ninahitaji majibu kwakweli. Maana sio kwa kutubemendea ndugu yetu kiasi hicho.
Kaka yako ndiye anakujibu sasa sikiliza kwa makini.

Nataka kwenda msumbiji nikatafute limbwata aniwekee kwake niwe zezeta.
 
wanazingua sana wanawake sasa c umfundishe jinsi ya kukiss kama unaona awezi unaleta uku jf lawama za nn afu usiseme wanaume tujifunze kukiss mbn hata nyny kukiss amjui unakuta demu kukiss ajui afu nyapu inanuka hatari by the way ishu za mapenzi ni very confidential uyo rafiki yako aliye kwambia ivyo nae hana hakili vzr mpumbavu uwezi elezea madhaifu ya mpenzi wako kwa rafiki yako ndomana nyny wanawake tunawadharaugi mda mwingine hamnaga akili badhi yenu.....
AF mkuu wa du wengine wamekua very short kias kwamba anampa shida baharia kuinama
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Naona wewe mzoefu wa kubusiwa waletee Somo hapa. Je Kama umeolewa unatoa Siri Za ndoa nje? Au wewe ni wapi kubusiwa na...
 
Back
Top Bottom