Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Usituchanganye,kama tulivyo huko chini wengine vibamia wengine madodoki,kiss sio lazima mdomoni, kuna shingoni kwa nyuma, kwenye paja la ndani, kwa ujumla ziko sehemu nyingi za kumsisimu mwenzio mpaka unapozamisha dodoki,(kama mmezimisha taa)atakwambia bebi mbona unaniigizia goti....na wewe unasema tulia wewee.
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
khaaa aya, njoo unifundishe mie
 
Wanaume tunaambiwa ukikuta demu wako ni gogo, it's better ukamfundisha kuliko kwenda kwa michepuko. Ukimfundisha atakuja kuwa Fundi one day.
Sasa na huyo Rafiki yako mwambie amfundishe jinsi ya ku-kiss.
Ataelewa tu.
 
wanazingua sana wanawake sasa c umfundishe jinsi ya kukiss kama unaona awezi unaleta uku jf lawama za nn afu usiseme wanaume tujifunze kukiss mbn hata nyny kukiss amjui unakuta demu kukiss ajui afu nyapu inanuka hatari by the way ishu za mapenzi ni very confidential uyo rafiki yako aliye kwambia ivyo nae hana hakili vzr mpumbavu uwezi elezea madhaifu ya mpenzi wako kwa rafiki yako ndomana nyny wanawake tunawadharaugi mda mwingine hamnaga akili badhi yenu.....
 
Teh teh teeeeh!!
Amfundishe ataweza tu, hata yeye kuna vitu alifundishwa. Vitu vingine ni vya kufundishana sio kutangazana.
 
Nakumbuka nilifundishwa kukisa na girlfriend wangu mzungu.
Tulikuwa tunakiss hata lisaa limoja hadi tunalegeaaa.

Daaah em moment.
Afu nikawa napenda kumeza mate yake balaa. Ila alikuwa hajui so nilikuwa namuweka juu ili akinidendeka iwe rahis kwa mm kuyapata kiulaini.

Up to now nikimpata mtoto mkali laZima nimtrain pole pole hadi apende ae njoy hii moment
 
Hakuna Mtu Aliyezaliwa Anajua Inawezekana hata we Mtoa Mada Umejulia Ukubwani Binafsi How To kiss Nilijifunza kwenye Mtandao na Nikajaribu na nikaweza na Mpka Leo Nakutana Na wadada Hawajui Kabisa Kupiga Dip Kiss But Nimewafundisha Na wanajua Kiasi Kwamba wananitafuta Mpaka Leo kila Kitu Ni kujuzana tuu Mnablame Wanaume Kwa Vitu Vidogo Nyinyi Mbona k***MA zenu Zinatoa Harufu mbaya Mpka mpige Pfyumu ndio Hali kidogo inatulia ,,No Body Perfect"
 
K wanazipiga pafyuum?
Hizo fix ka zinaoshwa bwana.
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
hahahahathis will be world war 3
Ngoja nikae pembeni
 
Back
Top Bottom