Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
We pumbavu kweli sema baadhi ya wanaume siyo wote ww hujui wengine mademu zetu wanatamani kila muda tuwapige mate kwa raha wanazopata.
 
Kama unampenda mwambie na umfundishe ila kumtangazia negative zake ni kosa la kimaadili kama hujamwambia.

Nakumbuka nikiwa chuo kuna rafiki yangu wa kiume alikuwa ananuka mdomo ila kumwambia nilikosa ujasiri lakini nilitafuta mbinu kumweleza na uzuri alikuwa kiumeni mwenzangu.
Niliamua kununua lain ya simu mpya nikamtumia sms na nini afanye walau ile harufu ipotee nashukuru japo alijibu kwa matusi lakini alibadilika maana nilimwambia ukipiga meno mswaki bila kusafisha ulimi lazima unuke so ulimi kwanza meno baadae
 
kwani radha ya denda ipo kwenye nini? mi huwa ananiombaga mate kwa hiyo nampatia ya kumtosha
 
si kama najichachua ila wote niliowapiga denda wana shuhuda za kipekee..ila wengi hawamo humu wangeshuhudia..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli..mwingine anakung'ata lips mpaka zinavimba na damu inatoka
Sasa wewe mwenyewe una full lips,halafu unampelekea wakati wakati mwenzio anakojoa,kuna akina sisi wakati tunakojoa hatujali kujikuta uvunguni.
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Tunajua ni ww
 
huyo boyfriend wake atakua mpiga tarumbeta
 
Aseeh....kwanza wewe ni Good kisser?? [emoji8] [emoji8] [emoji131]
 
Mpenzi ukimuona ķila jambo kulalamika basi tambuà kuwa huyo mpenzi bali sanduku la maoni
 
215f5cd9b73d326ae5ad613c577c3038.jpg
 
Back
Top Bottom