Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Wapi wanafundisha kukiss? Na wewe tuambie ulijifunzia wapi? Je akasema aje kwako umfundishe kukiss maana unaonekana ni greater kisser utakubali?
 
Huyo rafiki yako angemwambia rafiki wa boyfriend wake Ingesaidia ww kapotea kidogo OK ngoja tufanye mazoezi ya hyo kitu
 
Tatizo ni pale unapo pigwa denda na wanaume watano kwa mwezi huyo na unashindwa kumwambia kati ya hizo denda tani ni ipi umeipenda zaidi
We kuwa muwazi mwambie
Honey ni kiss kama flani ana kiss hivi na vile
 
Babu yako kaone..walai ngoja nikugawe kwa Asprin swahiba chukua huyu mtoto

Kumbe hatukuwa serious ndiyo maana unamtukana babu yako.

Miss you too
Hapa nahitaji muhtasari wa habari...

Afu naomba file la Jovitha lifike ofisini kwangu kesho kabla ya muda wa saa za kazi kuisha.

Tafazali sana...
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Nakuona binti wa kolomije ulivyo mshamba
 
Back
Top Bottom