Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Bora umwambie mtu kuww kuna kitu anakosea...

Tena utumie maarifa sana kumwambia .

Yaani kama anachofanya hupendi..wala huitaji kumwambia direct . Unachopaswa kufanya ni kumfundishe vile unataka afanye..

Lazima atajifunza na atabadilika ..labda awe bongolala nae..

Wakati mwingine tunakosea sana kuja kusema mambo huku ila hali wahusika hawajui lolote..

Try it at home first..
 
Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?
Pole sana kwa yaliyokukuta..
 
Habari wana jamvi,

Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?

Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...

JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Ungekuw umemwambia huyo boyfriend wa rafik ako ingekuw vzur zaid
 
Hii ni Kwa wote. Bora umkute msafi ila hajui kukiss coz waweza kumwambia atulie ili udrive. Kwa maana nyingine you will be teaching him through actions hapo hapo. taabu unakiss kwanza anakupelekea limi hilo mpaka kwenye kolomeo, domo linanuka, anatoa limi na vijimaharage vilivyobakia. This is for all haina gender
Hahahaha!!

Au ulimi una rangi ya njano kama ulimi wa mbuzi kala majani vile pale kati.

Na watu wa hivyo wanapenda denda,kiss kweli.
 
d2ba629b6fdc3bfeb717f35549dcf533.jpg
Tehtehteh
 
Kwani ww mleta mada umepigwa denda lini kwa mara ya mwisho?
 
Back
Top Bottom