Wanaume jf wamepewa libwata............

@Young_Master my x, hebu nikumbushe ile taarabu ya MANENO YA MKOSAJI ILIIMBWA NA NANI TENA??? za jumapili lakini? chit chaters wazima nyiee?? nimewamisije kha!

mamito nami nina swali kama hilo kwako niambie wimbo wa 'EWE NJIWA PELEKA SALAM" yule mdada mjeda aitwa nani tena? na je unakumbuka ule wimbo wa marehem mzee ISSA MATOLA?
 
Ha ha haaa!!! Pole sana ummu kulthum...Kama wao wamegoma kukupa siri ya mafanikio yao ya kutajwa tajwa kila saa basi mimi nitakupa siri ya hayo mafanikio nayo ni kuwa mnafki...mcheshi...mmbea...mchokozi...na muongea pumba maana ukiongea point watu watakuogopa na wataogopa kubishana na wewe. Kama huamini jaribu hayo niliyokwambia hapo juu na utajionea mwenyewe.

mkuu Young_Master mbona unaisemea miayo ya watu, ngoja waje wakusikie hapa, mi simo!
 
Last edited by a moderator:
njoo uchukue nafasi.....ila naniliu ... babibe nanilii asijue

Tatizo funguo za vyumba vyote alishanipa, kasoro funguo za chumba hicho tu! Ndiyo alibakinazo mwenyewe!
Aidha alishanipa policy kua kama atahitaji kunipa hizo funguo basi itakua 2099!
Na akishasemaga hivyo kwangu hua ni constitution!
 
BADILI TABIA na cacico mnataka niwaambie mara ngapi mkiona kimya mjue niko nae!!! Yaani hapa ndio tumeingizana mjini safari ilikua ndefu na tamuuuuuuuu......wiki hii muacheni laaziz apumzike kabisa,namkanda mara tatu kwa siku.
 
Last edited by a moderator:
mke mwenza mie mzima tu,
mume wetu sijui kalala wapi...
mie sijamtia machoni toka ijumaa...

au keshabebwa jamaniii? labda yupo kwa Yummy! maana Yummy hapatikani kabisaaa kwa thimu!

Wake wenza naona roho zinawatoka hebu ngoja nimuamshe mzee hapa walau aje kuwasabahi japo roho zenu zitulie halafu arudi kupumzika,msinichoshee kiumbe.
 
Back
Top Bottom