Wanaume jf wamepewa libwata............

Wanaume jf wamepewa libwata............

Funguka japo robo tukusaidie!
Bt Note , sometymes sisi wanaume maeneo mengi tunalimbwatanishwa na they way of conduct from Ladies !
Miziziology siipi big chans.

nimefunguka hadi mwisho wng, yaan hii kitu.........aaaah af J Mbona tayari umeshalishwaga na nahii af sie tunakupotezea tu!shituka oooh
 
Ha ha haaa!!! Pole sana ummu kulthum...Kama wao wamegoma kukupa siri ya mafanikio yao ya kutajwa tajwa kila saa basi mimi nitakupa siri ya hayo mafanikio nayo ni kuwa mnafki...mcheshi...mmbea...mchokozi...na muongea pumba maana ukiongea point watu watakuogopa na wataogopa kubishana na wewe. Kama huamini jaribu hayo niliyokwambia hapo juu na utajionea mwenyewe.

nakushukuru sana naahidi kuyatekeleza kwa moyo wote.karibu baa jet
 
Last edited by a moderator:
nimefunguka hadi mwisho wng, yaan hii kitu.........aaaah af J Mbona tayari umeshalishwaga na nahii af sie tunakupotezea tu!shituka oooh

Nimelishwa na nani ? Ruksa mtaje, ndiyo tutanata na biti .
 
Ha ha haaa!!! Pole sana ummu kulthum...Kama wao wamegoma kukupa siri ya mafanikio yao ya kutajwa tajwa kila saa basi mimi nitakupa siri ya hayo mafanikio nayo ni kuwa mnafki...mcheshi...mmbea...mchokozi...na muongea pumba maana ukiongea point watu watakuogopa na wataogopa kubishana na wewe. Kama huamini jaribu hayo niliyokwambia hapo juu na utajionea mwenyewe.
@Young_Master my x, hebu nikumbushe ile taarabu ya MANENO YA MKOSAJI ILIIMBWA NA NANI TENA??? za jumapili lakini? chit chaters wazima nyiee?? nimewamisije kha!
 
@ummu kuluthumu mambo best? mzima wewe?? za jumapili??
 
Back
Top Bottom