Wanaume jf wamepewa libwata............

Jishoga ni mwanamama? ana sifa za kunyonyesha?
Hapa Katibu unataka tu kuanzisha ligi unnecessary !
My dear hivi nikikupa biography ya shoga sio mwanaume tutakesha , kwanza omba radhi kwa mwenye thrade kwa machakachuzi yako, na kwa kunisababishia na mie kuchakachua. Afu jishoga halina sifa ya kunyonyesha!
Lakini lina sifa ya kunyonya! Huyo nae tumwite mwana wa kiume?
Inahuuuu ?
 
hata mwanaume asiye shoga ana sifa ya kunyonya uki mgroup jishoga kwenye kwa wamama utakuwa unatudhalilisha jinsia itabaki kuwa jinsia inspite of being shoga haitabadilli hali ya jinsia
 
Haya bwana ! Na nyie wanawake kwa ubishi ! Mlijaaliwa hatuwawezi, hili tulilaze poro mida hii nina job thn ntakutaftia tena wasaa tulianzishe mi niwe peke yangu wewe utafute washirika kama wa5 hivi afu tuanze mdahalo.
 
Mimi peke yangu ni sawa na 5 uanzishe thread topic yoyote halafu tunawapa taadhari akina Cacico na team yake watakula ban wakichakachua thread
 
Hii topic sasa mliifikisha mbali The secretary na Judgement yaani I was watching you closely... Mara umbea ni sunna kwa mwanamke mara ushoga,mara sijui nini...
Badala ya sisi wanaume tuwe nasi tunalimbwatisha wadada nao wawe mazoba,tunawaachia wao tu!
 
Last edited by a moderator:

Wakina dada limbwata lao ni upendo tu lakini nyie msipopimwa kwenye beam balance hamna upendo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom