Wanaume jf wamepewa libwata............

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
Sio wote na wanajijua, yaan bila kuwataja hawa warembo wawili sekunde, saa, dakika, siku haziendi kabisa herufi za mwanzoni za wanyage hao ni F na C na za mwisho herufi zao zinafanana sana ni Y,kuna mmoja wao nilishamuomba maunjanja hayo anipe nami niwe natumia ili nitajwe nitwaje lakini alivyomlaku!!! aliishia kunipa LIKE.nipo kwenye mchakato wa kutoka kwenye net yangu ya msaada wa cameroon labda labda................nita.........mmh wanatumia nini hao mabinti jamani aaaah!!. ANGALIZO,SINA WIVU ILA ROHO INAUMA
Bishanga yumoyumo lakini havumi kama wenzake
 
Last edited by a moderator:
Funguka japo robo tukusaidie!
Bt Note , sometymes sisi wanaume maeneo mengi tunalimbwatanishwa na they way of conduct from Ladies !
Miziziology siipi big chans.
 
Ha ha haaa!!! Pole sana ummu kulthum...Kama wao wamegoma kukupa siri ya mafanikio yao ya kutajwa tajwa kila saa basi mimi nitakupa siri ya hayo mafanikio nayo ni kuwa mnafki...mcheshi...mmbea...mchokozi...na muongea pumba maana ukiongea point watu watakuogopa na wataogopa kubishana na wewe. Kama huamini jaribu hayo niliyokwambia hapo juu na utajionea mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
na nini tena, wakati na ww umo kwenye hichi kibunga unakumbuka kwenye ule uzi wako ulimtaja nanih, af nanihi akakwambia kwamba sio vizuri yule ni mke wa mtu.eeeh bisha tena!

daaaah hapo ummy ndo umenimix na kunichanganya kabisa....
 
Back
Top Bottom