Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,076
- 98,630
Hao MALALAMIKO FC kila siku nyuzi za kutusema 🤣🤣🤣Halafu waje tena hapa na ushahidi wa screenshots ,, hapana kwakweli 😂😂😂😂
We nenda bhana atuletee uzi tuchangamke na kumkomesha usimuombe afu tatu, anza na laki